Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Wewe ni tapeli mkubwa ,,, mtu akiamua kukusaidia hawezi kukuomba ela na anajua wewe ni jobless
Usimtuhumu mkuu, mana huwez jua mzee yeye hajalazimisha kumsaidia mtu. Mbanga wa bila hela mara nyingi wanakuaga ndugu au hata umlipe kias gani ni kidogo sana kwa level zake. So atakubali dua hela atakuachia tu
 
Back
Top Bottom