Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mbuyu wangu ulnmbia raia wa mtaan bado,maana hta msata bdo hawajakamilisha usaili,juz ithink vifaa ndo vilienda oljoro na kuandaaa mazngra,next week wavikosini walobakia wataitwa then nakadria nafkli kuanzia week ya tarehe 23 might be sim zikaanza kuita.
Kuna taarifa zilisqmbaa kwq kasi sana vijana wakaanza kujambajamba hawaitwi. Vilio kibao na kuanza kulalamikia maisha. Habari zile mbaya sana sijui nani aliziamsha. Haki ya mungu Angeua watoto wa watu
 
Mbuyu wangu ulnmbia raia wa mtaan bado,maana hta msata bdo hawajakamilisha usaili,juz ithink vifaa ndo vilienda oljoro na kuandaaa mazngra,next week wavikosini walobakia wataitwa then nakadria nafkli kuanzia week ya tarehe 23 might be sim zikaanza kuita.
Ko uwakika mabog mawilii
 
Kuna mdau Juu hapo kasema hata uwe Na milion Sita utatapeliwa tu
Ni ngumu
Kuna ndugu yangu kaambiwa atoe ela
Nikwambia asitoe kabisa
Nipe mbuyu wako Basi😁
😂😂😂😂Mbuyu wangu 😂😂😂 dah nimecheka kifala,unajua nni kaka hakuna kazi tz utapta bila kutoa pesa kwa sasa,hakuna tusidanganyane,muhimu kma una mbaga wako unae fatlia taarifa anazokupa ni sahihi ni za uhakika?? Muhimu uwe na mbaga ambae yupo ngome kabsa pale,lkn unakuta mbaga yupo dar kila siku anakupiga sound,kingne unasema mtu asitoe hela,mim mbuyu Wang ulnmbia nimtumie chet cha la 7 haraka,saa ukimtumia cheti hela yakuprint atoe hela yake?? Hela ya kwenda stationary pia aende kwa miguu,ko unakuta unamungzia hta 40,50 maana sio mtoto yule umtumie elfu 5 umwambie "buku lakuprint bku 2 ya boda" tuwe serious jaman ktk masuala yakutafta maisha.
 
Huwez kumtumia mtu Kama kanali Elfu kumi
 
Nipe Na Mimi hiyo mbuyu
Maana hiyo ndugu yangu watamtapeli nisipoingilia Kati
Nakuja pm
 
😂😂😂😂Mbuyu wangu 😂😂😂 dah nimecheka kifala,unajua nni kaka hakuna kazi tz utapta bila kutoa pesa kwa sasa,hakuna tusidanganyane,muhimu kma una mbaga wako unae fatlia taarifa anazokupa ni sahihi ni za uhakika?? Muhimu uwe na mbaga ambae yupo ngome kabsa pale,lkn unakuta mbaga yupo dar kila siku anakupiga sound,kingne unasema mtu asitoe hela,mim mbuyu Wang ulnmbia nimtumie chet cha la 7 haraka,saa ukimtumia cheti hela yakuprint atoe hela yake?? Hela ya kwenda stationary pia aende kwa miguu,ko unakuta unamungzia hta 40,50 maana sio mtoto yule umtumie elfu 5 umwambie "buku lakuprint bku 2 ya boda" tuwe serious jaman ktk masuala yakutafta maisha.
Kama ya ukweli at 2M nitatoa Ila baada ya uhakika
 
Back
Top Bottom