Waliowahi kuwa makambini? Au wote wa mtaani? Haijalishi kama walishawai kuwa kambinu au lah? Simu zingine hazitaita?Habarini za mchana wakuu,Watu waliopigiwa simu hawa wa mtaani kwenda kuripoti makutupora wameambiwa kuripoti mwisho ni kesho.Wakifika wananakula wembe kichwani.Bogi linaatakiwa kuondoka kwenda msata mwez wa kumi mwanzoni.
Nitaliuliza hukoh kma lilivyo den nitakupa mrejesho mkuu,Waliowahi kuwa makambini? Au wote wa mtaani? Haijalishi kama walishawai kuwa kambinu au lah? Simu zingine hazitaita?
Asante mkuu.. vp bado simu zitaendelea kuita au ndo wamemaliza mkuu Zafrain sag ?Habarini za mchana wakuu,Watu waliopigiwa simu hawa wa mtaani kwenda kuripoti makutupora wameambiwa kuripoti mwisho ni kesho.Wakifika wananakula wembe kichwani.Bogi linaatakiwa kuondoka kwenda msata mwez wa kumi mwanzoni.
Nitakupa majibu Mazuri kuanzia kesho mkuuAsante mkuu.. vp bado simu zitaendelea kuita au ndo wamemaliza mkuu Zafrain sag ?
Sawa mkuuNitakupa majibu Mazuri kuanzia kesho mkuu
Tutasubiri mrejesho seniorNitakupa majibu mazuri watakopokuwa wanakaribia kuondoka kwenda Msata.
Mzazi mmoja inatoshaMkuu Kwa ambao mzazi mmoja alifariki kabla ya Mambo ya nida hayajakuwepo wanahitaji uthibitisho wa kifo chake au namba ya nida ya mzazi mmoja inatosha.
Sawa mkuuMzazi mmoja inatosha
Yako imeita au?Humu ndani simu zinaita jaman?
[emoji2][emoji2]kumeanza kuchangamkaKwa taarifa nilizopata ni kuwa watu waliopigiwa simu ila majina yao hayakuwepo kwenye listi,Wamerudishwa na wameambiwa wawasiliane na mimbanga yao hii inaonesha kuwa mambo yamekazwa,Ukifika inabidi uoneshe namba ya simu iliyokupigia kwahiyo hakuna kuzamia.
Muda bado upo wa kupiga simu .. matapeli wanawadanganya vijana kwa simu piaKwa taarifa nilizopata ni kuwa watu waliopigiwa simu ila majina yao hayakuwepo kwenye listi,Wamerudishwa na wameambiwa wawasiliane na mimbanga yao hii inaonesha kuwa mambo yamekazwa,Ukifika inabidi uoneshe namba ya simu iliyokupigia kwahiyo hakuna kuzamia.
Naunga mkono hoja🫡👏Asiwadanganye mtu hamna hamna aliepigiwa simu hadi sasa wala alotakiwa kuripoti Makutopora. Mimi ni raia tu wakawaida nipo hq kitengo cha IT nimejitolea nimetok direct chuo. Hata hapa makao hamna mtu mwenye taarifa hio lini watawapigia simu au itaratibu utakuaje..au angalieni hata nyie au mtu aseme kama mbanga wake kampa utaratibu wwte utakavyokuwa
🤔🤔 Una uhakika makutupora Amna walioripotiAsiwadanganye mtu hamna hamna aliepigiwa simu hadi sasa wala alotakiwa kuripoti Makutopora. Mimi ni raia tu wakawaida nipo hq kitengo cha IT nimejitolea nimetok direct chuo. Hata hapa makao hamna mtu mwenye taarifa hio lini watawapigia simu au itaratibu utakuaje..au angalieni hata nyie au mtu aseme kama mbanga wake kampa utaratibu wwte utakavyokuwa