Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Hakuna mtu wa mtaani aliepigiwa acha uongo mzee
 
Mmi nimetoka sehem muda huu, habar zinapatikn bila shida hizo. Kupigiwa tareh 23 ndo mtaona. Na hii ni soldier mstaafu anampiganishia mwanae..

Mitandaoni humu mtapigwa hela.
 

Attachments

  • 20240917_122714.jpg
    1 MB · Views: 7
Namaanisha walivyoenda jana walikutana na marafiki zao waliosoma nao shule so wakabadilishana namba so wale marafiki zao ndio wamewapigia kuwaambia majina yenu yamesomwa,Lakini pia mbanga wake alimpigia simu kuwa mambo yapo vzr rudi.
We Jamaa ueleweki kwan number c wanazo tayari na wamtaani mpaka next week
 
Nashangaa walioaga kwenda huko makutupora na Msata bado wana zurura tu humu JF wanazungusha vyupi.
Au mlikua mnajifariji, kwa jitungia maswali kisha mnajisahihisha wenyewe.😎🤏
 
Hukoh mambo ni tafran wanahitaji cheti kwa kila ngazi ya Elimu uliyopita na leaving Certificate zake,Pia wanaangalia majina ya wazazi wako kwenye cheti chako cha kuzaliwa kwa kucompare na NIDA zao yasipofanana ni kipengele,Ambao majina yamekosewa wanahangaika kutafuta affidavit.
 
Tafuta mbanga wakueleweka akupe info vzr achan na hao wastaafu.Wenye mbanga zao za maana wameshapigiwa simu.So kutopigiwa kwako simu haimaanishi kuwa wengine hawajapigiwa.
Wewe ndo muongo.....wewe si una mbanga ambae sio mstaafu mbona siku zote upo humu JF unazurura tu kazi kutoa taarifa za uongo kwanin na wewe wasikupigie simu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…