Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika,Ameniambia watu wa mtaani walianza kupigiwa simu juzi wakipewa maelekezo waende kuripoti makutupora,Mwisho wa kuripoti ni kesho na wameambiwa wabebe vitu vya muhimu vyote maana hakuna kurudi wakitoka hapo mwez wa kumi mwanzoni wanaelekea msata.
Hakuna mtu wa mtaani aliepigiwa acha uongo mzee
 
Mmi nimetoka sehem muda huu, habar zinapatikn bila shida hizo. Kupigiwa tareh 23 ndo mtaona. Na hii ni soldier mstaafu anampiganishia mwanae..

Mitandaoni humu mtapigwa hela.
 

Attachments

  • 20240917_122714.jpg
    20240917_122714.jpg
    1 MB · Views: 7
Hukoh mambo ni tafran wanahitaji cheti kwa kila ngazi ya Elimu uliyopita na leaving Certificate zake,Pia wanaangalia majina ya wazazi wako kwenye cheti chako cha kuzaliwa kwa kucompare na NIDA zao yasipofanana ni kipengele,Ambao majina yamekosewa wanahangaika kutafuta affidavit.
 
Tafuta mbanga wakueleweka akupe info vzr achan na hao wastaafu.Wenye mbanga zao za maana wameshapigiwa simu.So kutopigiwa kwako simu haimaanishi kuwa wengine hawajapigiwa.
Wewe ndo muongo.....wewe si una mbanga ambae sio mstaafu mbona siku zote upo humu JF unazurura tu kazi kutoa taarifa za uongo kwanin na wewe wasikupigie simu sasa.
 
Back
Top Bottom