Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Sijajua uo usaili wa Bms kama washaanza au bado ila nnachojua kua leo apo Ruvu jkt kuna sherehe ya kuwaaga wale op mabeo ambao mkataba wao ndo unaisha….alhamis wanamwagwa kila mtu kwaoo
 
Sijajua uo usaili wa Bms kama washaanza au bado ila nnachojua kua leo apo Ruvu jkt kuna sherehe ya kuwaaga wale op mabeo ambao mkataba wao ndo unaisha….alhamis wanamwagwa kila mtu kwaoo
bms ni tofauti na wasomi madaktari au?
 
Ogopa sana hiki kitu, machozi ya damu huwa yanatililika
Sio poa mkuu, mungu atusaidie watafutaji…juzi kati kuna washkaji Nilikutana nao wao walienda mpaka msata na wamekaa pale kihangaiko miez mi2 lakin wakaja kutemwa kua wao ni unfit kweny kibangala cha unfit…washkaji wananiambia ilikua ni vilio tu huko kihangaiko na maumivu ya kutemwa walioyapata ni makali mnoo yan hata kula week nzima ilikua shida, now wapo ruvu apo na alhamis wanamwagwa kwenda makwaoo.
 
Pagumu sana aiseee bila mbuyuu kutoboaa ni kipengelee
 
Naangalia hapa wanaotunukiwa Kamishenii wale kundi maalum la 5/21...regular naoo wapoo hvi hua wanachukuaa wanaokua tayar ma private niin!?πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…