Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kwahiyo hakuna bogi la oljoro?
Bogi la oljoro... Kwa nilizopata lipo iv... Wale ambao wap 834kj na walipo msata.. Wanachanganywa baada ya majibu ya usaili kulud then wanagawanya bogi... Mbili moj litabaki rts_kihangaiko n nyingin litaelekea orlojoro
 
Sawa bado uwezekano wa Kuingia upo kama una Mbanga?
 
Bogi la oljoro... Kwa nilizopata lipo iv... Wale ambao wap 834kj na walipo msata.. Wanachanganywa baada ya majibu ya usaili kulud then wanagawanya bogi... Mbili moj litabaki rts_kihangaiko n nyingin litaelekea orlojoro
Wanatenganishaa Wenye elimu na wa D 2 Auu sioo!!?ili kila mtu ale kozi kwa urefu wa kambaπŸ˜…
 
Jeshi jeshi KOOOOH, KOhooo;- yoyooo.mtasubiri sana mpaka mnaingiaa kaburini. Tumieni mbinu nyingine ya kupata kazi. Hakuna ronjaa zaidi ya hii. Tupigeni kazi zingine tukomboee Familia zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…