methy
Member
- Jan 12, 2020
- 17
- 9
wanasomewa leo.Hivi na wale waliopo msata idadi gan wanaotemwa!?
wanasomewa leo.Hivi na wale waliopo msata idadi gan wanaotemwa!?
Okaywanasomewa leo.
Nani alikwambia tunaandika hapa ili tufanikiwe!?Jipeni moyoo,mtafanikiwaa 2028 &29
Ronja zimeniambiaNani alikwambia tunaandika hapa ili tufanikiwe!?
Kivipi mkuu?Jikoni + mpishi = ukweli na uhakika.
Hakuna kozi hakuna kozi, tekenologiaaaa
Jidanganye,tarehe Tano moto unawakaJikoni + mpishi = ukweli na uhakika.
Hakuna kozi hakuna kozi, tekenologiaaaa
Kazii kwishaa....achaa kuota ukiwa machoMpaka...dakika hii. Watafutaji tunaongozwa goli mbili...je tunaweza pindua meza?
Wamsatani hawapatikani tena....😅
Broooh...miongon mwetu kuna watu wanaweza pindua mezaKazii kwishaa....achaa kuota ukiwa macho
Hayaa pindueniBroooh...miongon mwetu kuna watu wanaweza pindua meza
SUbiri kuona zoezi la porini tu.Kihangaiko....kushaanza kuchangamka uko nasikia
Hiiii noooma.....SUbiri kuona zoezi la porini tu.
Sio poaaHiiii noooma.....
😃Kupoteza tu muda