Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

WAFIA MTIPIDII,+254.WAZEEE WA RONJAA. 2028,2029, NA 2030.
 

Attachments

  • FB_IMG_1760284783249.jpg
    FB_IMG_1760284783249.jpg
    126.7 KB · Views: 44
📢 TANGAZO LA KAZI – HORIZON INSTITUTE 📢

Horizon Institute inafungua nafasi za kazi katika kozi mbalimbali za kuelimisha! Ikiwa una ujuzi au shauku ya kufundisha, hii ni fursa yako ya kuunga mkono jamii ya wanaojifunza.

🌟 Maeneo ya Kazi Yanayopatikana:

🗣 LUGHA ZA KIGENI
✅ English
✅ French
✅ German
✅ Kitaliana
✅ Russian
✅ Romanian
✅ Spanish
✅ Arabic
✅ Kiswahili
✅ Chines

💻 KOZI ZA COMPUTER
✅ Computer Application
✅ Graphic and Design
✅ Video Production
✅ Air Fare and Ticking

🛠 KOZI NYINGINEZO
✅ Tour Guider
✅ Tuition of all level (Nursery mpaka Advanced)
✅ Cleaner Hotel Management
✅ Ususi
✅ Make Up (Upambaji)
✅ Uchoraji wa hinna na piko

⏳ Mwisho wa Kuwasilisha Maombi: 14/12/2025

🌐 Jinsi ya Kuomba:
Tuma ombi lako kupitia website yetu:
👉 Horizon Institute - Mfumo wa Maombi ya Kazi

📞 Kwa maswali au usaidizi, wasiliana nasi kupitia:
📞 0722 186 012
📞 0786 199 664
📧 Amani Magazeti Zanzibar
 
🎯 KUWA WAKALA WA HORIZON INSTITUTE - ZANZIBAR 🎯
PATA TSH 20,000 KWA KILA MWANAFUNZI!

📍 Chuo Kipo: Zanzibar

Je, Unatafuta Mapato Ya Ziada?
Horizon Institute inakupa nafasi ya kujiunga na timu yetu ya WAKALA.Hakumi mahitaji ya elimu ya juu. Anza kupata pesa zako leo hii!

📈 JINSI YA KUPATA PESA (Hatua 4 Rahisi):

1. 🔗 JISAJILI KWA BURE
Ingia kwenye: Horizon Institutes
Bofya "Register", jaza fomu na upate Namba Yako Maalum ya Wakala.
2. 👥 ENGEZA WANAFUNZI
Toa link hii kwa marafiki na familia: Horizon Institutes
Waelekeze jinsi ya kujisajili kwenye mfumo. Kazi yako ni kuongoza tu.
3. ✅ POKEA NAMBA YA THIBITISHO
Mwanafunzi atakapokuja chuoni Zanzibar kukamilisha usajili, atapewa Admission Number. Hakikisha anakupa hii.
4. 💳 POKEA MALIPO YAKO MTANDAONI
Ingia kwenye mfumo wako wa Wakala, weka Admission Number ile, na TSH 20,000 itakuwekelea kwenye akaunti yako mara moja!

🎓 KOZI ZINAZOSOMESHWA KWA WANAFUNZI:

🌍 LUGHA ZA KIGENI:
•Kiingereza (English)
•Kifaransa (French)
•Kijerumani (German)
•Kiitaliano (Italian)
•Kirusi (Russian)
•Kiarabu (Arabic)
•Kihispania (Spanish)
•Kichina (Chinese)

💻 KOZI ZA TEHAMA:
•Computer Applications
•Graphic and Design
•Video Production
•Air Fare and Ticketing

🎨 SANAA NA UBUNGE:
•Fashion Design
•Make Up (Upambaji)
•Uchoraji wa Hinna na Piko

🏨 UTALII NA USIMAMIZI:
•Tour Guiding
•Hotel Management

👶 ELIMU YA AWALI:
•Early Childhood Education (Nursery - Advanced)

💵 FURSA ZETU ZA MALIPO:

· TSH 20,000 kwa kila mwanafunzi anayekamilisha usajili.
· Malipo ya haraka na ya moja kwa moja mtandaoni.
· Pata mapato kila siku!

📞 HUDUMA KWA MAWAKALA:
Simu:0772 186 012 / 0786 139 664
Eneo:Zanzibar
Maelezo Zaidi:Tafuta Amani kwenye Magazeti Zanzibar

---

🔥 JIUNGE SASA! FUATA HATUA, LETA WANAFUNZI, ANZA KUPATA! 🔥

Horizon Institute Zanzibar - Fursa Yako Ya Mapato Inaanza Hapa!

---
 
Mwenye Ronja Atupe
Hii kazi mtakuwa mnasikia tu wazalendo 3000 wamemaliza kule msata sijui wazalendo 2500 wameapa Oljoro nafikiri ni Tz pejee mchakato wa kuingia Jw unafichwa vibaya kama kende za mzazi!!

Bora hata UT,PT,ZT,MT tunasikia mchakato wao hata kama ni konekisheni kule hata harufu tu usikii utakuwa unahisi tu na kupeana ronja sijui kuna bogi la wapi sijui mtaan watakuja Dadeki maisha magumu sana kitaa wana basi tu
 
Hii kazi mtakuwa mnasikia tu wazalendo 3000 wamemaliza kule msata sijui wazalendo 2500 wameapa Oljoro nafikiri ni Tz pejee mchakato wa kuingia Jw unafichwa vibaya kama kende za mzazi!!

Bora hata UT,PT,ZT,MT tunasikia mchakato wao hata kama ni konekisheni kule hata harufu tu usikii utakuwa unahisi tu na kupeana ronja sijui kuna bogi la wapi sijui mtaan watakuja Dadeki maisha magumu sana kitaa wana basi tu
Jwtz hawachukui mtaani wao wao wanachukua JKT na ndio maana unaona Kama siri
 
Back
Top Bottom