ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 1,103
- 1,400
Kesho wing ya pili wanakwenda pori kubwa wakirudi wanaaza rehasal mwisho wa mwezi huu wanamalizaSamahani,wale wa msata walioenda mwaka Jana wanamalizia lini?
Kesho wing ya pili wanakwenda pori kubwa wakirudi wanaaza rehasal mwisho wa mwezi huu wanamalizaSamahani,wale wa msata walioenda mwaka Jana wanamalizia lini?
Mibanga tumekosaa tutakua tunaona wenzetu tu wanamaliza sisi tupoo MUNGU atuone na sie inshalah tupate wakutushika Mkono 🙏🤲Kesho wing ya pili wanakwenda pori kubwa wakirudi wanaaza rehasal mwisho wa mwezi huu wanamaliza
Kuna mtu hapa bado ana imani na mchakato kuwa fair upande wake? Guys? Guyyyys?Mibanga tumekosaa tutakua tunaona wenzetu tu wanamaliza sisi tupoo MUNGU atuone na sie inshalah tupate wakutushika Mkono 🙏🤲
Ki viip!??Kuna mtu hapa bado ana imani na mchakato kuwa fair upande wake? Guys? Guyyyys?
There s no fair, miqka inaenda na siku y mungu haifiki tu. Mm nafikir kun haja ya kuanglia mifumo mengine ya maisha kuishi. Vijana wana miaka hapa wanavizia lonja tu.. tukubali mabadiliko kuqnza ndan y vichwa vyetuKi viip!??
Sure.There s no fair, miqka inaenda na siku y mungu haifiki tu. Mm nafikir kun haja ya kuanglia mifumo mengine ya maisha kuishi. Vijana wana miaka hapa wanavizia lonja tu.. tukubali mabadiliko kuqnza ndan y vichwa vyetu
Exactly💯💯...mimi hua nasema majeshini kama huna mbangaa wa uhakika ni kujichosha tuThere s no fair, miqka inaenda na siku y mungu haifiki tu. Mm nafikir kun haja ya kuanglia mifumo mengine ya maisha kuishi. Vijana wana miaka hapa wanavizia lonja tu.. tukubali mabadiliko kuqnza ndan y vichwa vyetu
Yan ukizaliwq maskini kuna vitu vingi sana kwenye maisha haviwezekan hasa kwenye maisha yenye ubepar ndan yake. Watu wametengeneza mifumo na hawaiachii.. ni muhim na wewe kutafuta gepu seh3m unayoiweza, tengeneza mfumo wako upate hela na wew ila haya ya kukomalia mambo ambayo una 40% ya kutoboa hata nusunus hujafika achana nayo. Mungu mwenyew haijakuwa proved kama yupo kwa ajili ya maskiniExactly💯💯...mimi hua nasema majeshini kama huna mbangaa wa uhakika ni kujichosha tu
Waache vijana wapambanie ndotoWazee mtazeeka kila siku kusubiria lonja!!?
Wanapeana matumain tu mkuu kadri siku zinavyoenda izo nafasi ndo zinazid kuwa finyu, me mwenyewe nilimani niingie chomboni lakini kwa jinsi hali ilivyo nikaona nifocus kwingine tuWaache vijana wapambanie ndoto
Muda unavyozidi na vigezo na mashariti vinazidi kukibana kiufupi JW pagumu hata ukiwa JKT bado uwe na mbuyu haswaa vijana mwezi uliopipita wameanza rudishwa home wanalia vibaya mnooWanapeana matumain tu mkuu kadri siku zinavyoenda izo nafasi ndo zinazid kuwa finyu, me mwenyewe nilimani niingie chomboni lakini kwa jinsi hali ilivyo nikaona nifocus kwingine tu
Kabisaa yaan💯Muda unavyozidi na vigezo na mashariti vinazidi kukibana kiufupi JW pagumu hata ukiwa JKT bado uwe na mbuyu haswaa vijana mwezi uliopipita wameanza rudishwa home wanalia vibaya mnoo
Kupoteza mudaWenye huitaji
Hawataki kusikia huu ukweliMuda unavyozidi na vigezo na mashariti vinazidi kukibana kiufupi JW pagumu hata ukiwa JKT bado uwe na mbuyu haswaa vijana mwezi uliopipita wameanza rudishwa home wanalia vibaya mnoo