Macrochogo
Senior Member
- Dec 5, 2023
- 162
- 117
Na TAKUKURU watakuja?
๐๐๐๐๐ Daah hatariii sanaa.
๐๐๐๐๐ Daah hatariii sanaa.
Wavivu wakupambana na maisha kitaani,wameshazoea kula Bure kambini,******* sana haoWazee mtazeeka kila siku kusubiria lonja!!?
Sema wabongo tuna roho mbaya sanaa...imagine hii comment!? Hivi mtu mpaka kaenda JKT ni mvivu kwamba kazoea kula bure sio!?,Ni Mvivu? Kwaio yeye ndo hataki kupambana kwa ajili yake na familia yake !? Kwaio ye ndo hataki kuishi maisha mazuri sioo? HAYA BHANAWavivu wakupambana na maisha kitaani,wameshazoea kula Bure kambini,******* sana hao
Ishi naoo kwa Akiliii hata biblia ilisemaa***** hutu tu demu hutu ๐ฎ
Sio Poaaa๐๐๐๐๐ Daah hatariii sanaa.
Sijui.Na TAKUKURU watakuja?
Ni kindugu zaidi huko ujanjaujanja mwingiiii.Hamna lonja tena humu dah!
Dah! Noma sanaNi kindugu zaidi huko ujanjaujanja mwingiiii.
JWTZDah! Noma sana
Taasisi gani iko busy na kurectruite muda huu?
Hao kaunda ni kazi za kurithi Mzee......Vip wazee wa kaunda
Vip wazee wa kaki
Vip TANAPA
Hiv hii huwa ni kweli? NasikiagaHao kaunda ni kazi za kurithi Mzee......
Mkuu sema jambo usitucheke๐๐๐๐
Samahani sana, huu Uzi ni kwaajili ya nini? Naona ni mwaka 2023Mkuu sema jambo usitucheke
updates za ajira kwenye vyombo vya usalamaSamahani sana, huu Uzi ni kwaajili ya nini? Naona ni mwaka 2023