Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Asikujaze upepo huyo ni debe tupu.
IMG-20260226-WA0024.jpg
"huyo ni debe tupu""😂😂😂
 
Mtandaoni kumetrend msiba wa huyu mwanajeshi wa JWTZ EDITHA MBALAWA wanadai amekufa kwenye maji wakati wa mafunzo .
Afu Chalii kabisa Binti wa 2001, Alidive Deep wanadai Kitufe cha Hewa kikachomoka akawa hapati hewa ya kutosha akaamua kurudi juu ila hakutoboa
 
Afu Chalii kabisa Binti wa 2001, Alidive Deep wanadai Kitufe cha Hewa kikachomoka akawa hapati hewa ya kutosha akaamua kurudi juu ila hakutoboa
Duh! Noma sana
Mkate unatafutwa kwa shida sana.
 
JWTZ wameita tena huko wakubwaa.
Wale watu
Wale watu.
Wenye mibanga ni muda wa kutikisa sasa.
 
Mkuu hebu anzisheni group la whatsap kwaajili ya ronja na km lipo tumeni link tupate ronja
Whatsapp watu wanaogopa utambulisho mkuu
Jf watu wanaipenda sababu ni mwendo wa VPN na majina yasiyohalisi
 
Back
Top Bottom