Fa masihara nn?Vijana mmechoka
Maelekezoo hamnaa..barua hazisomwiiVijana mmechoka
Mkuu umekosa hata diwani wa kukomaa nae? Mana mungu peke yake hatoshiMaelekezoo hamnaa..barua hazisomwii
Ngoja nitafuteee kakaaa😂😂Mkuu umekosa hata diwani wa kukomaa nae? Mana mungu peke yake hatoshi
Mm ungekuwq mwehu ningekupa code na ungetoboa freshNgoja nitafuteee kakaaa😂😂
Nipee hioo code mzee..niruke nayooMm ungekuwq mwehu ningekupa code na ungetoboa fresh
Jamani kuna lonja yeyote
Vijana walipo makambini jktVijana wa makambini wanafanyiwa usaili
Fanya mambo mengine kijana ukihitajika utaitwaMaafande kuna jambo kwl jmn
Ooh kumbe!Vijana wa makambini wanafanyiwa usaili
Ooh kumbe!
Bado kaka tuzidi kumuamini MunguKulikoni , au uko kuna lonja kwl au nitumbukie tu mgodoni mpk mwez wa 9