Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Tatizo vijana mnasaidiwa lakini mkishafanikiwa hamrudi Tena mnapotea kabisa
 
Duuh kwamba watu wanapotea na hawatak kulipa fadhila baada ya kufanikiwa!! …..mkuu naomba msaada nafasi ikipatikana mm mtoto wa kimasikini maana hii ni awamu ya nne naona naenda kutoka kapa kila awamu naishia tu kuona watu wakiapa pale RTS ilore
 
Bado ila from today usikae mbali na simu. Ijumaa nilikua ngome succos nilikutana na afisa fran hivi mkubwa. Akanambia kijana wake amemtanguliza 834 KJ. So from than nahis simu hazipo mbali ndani ya week hii
 
Duuh kwa style hio bila connection kuna kutoboa kweli apo
 
Bro jeshi lipo hivi kama hauna potential, connection(mbanga kuanzia canal) na bahati sahau kuhusu jeshi. Iyo ndio kanunia ya miaka yote kaka hasa kwa wale ndugu zangu wa vikosini wa mtaani the same hiko kitu kitaapply. Mfano jeshi kila mwaka linakua na vipaumbele vyake haliendi tu. Mfano endapo mwaka husika linahitaji kada ya afya 200 engs 100 na it 20 wanamichezo 25 maanake hukiwa kwenye fani husika wew ni potential hata vyeti vyako ulivyotuma watapitia (scouting ). The rest sasa ndio inabaki connection na bahati. Mwaka jana kuna madogo walikua msomela kule wale angalau kuna baadhi walitembelea upepo wa kule. Kwahio mzee kama hauna connection hauna potential yoyote kupata nafasi ya jeshi tz kwakusubili bahati hasa mtaani ni 0.000001% kambini angalau unaweza ukakutana na bahati ya mtende ambayo nayo ni 2% just assume idadi ya mliotuma maombi ni zaidi ya watu elfu 20 nambie sasa wew ambaye hauna connection unabahati kiasi gani labda kama lastborn wa Jesus ila sipendi kuwakatisha tamaa huo ndio ukweli. Haya mambo kama kweli huko serious nayo hayaendi hivi kama haujajipanga hii intake ya 45 samehe then. Weka strategies tafuta watu wanaoweza kukusaidia intake ya 46 kuanzia sasahivi yani usisubiri watangaze nafasi ndio uanze kusumbua watu mimi nina experience ya kutosha nimeanza kuapply nafasi first time 2021 military science mbanga yangu ilikua nzito wakati ule one star brigedia alikua mkuu wa mafunzo wa chuo fran now ni two star brigedie. Lakini nilikosa nafasi na nikakatwa nusu nipate tatizo la afya ya akili. Hapo kati inteki kibao nikakosa yani me nikaja kuanbulia intake ya 44 tena kwa mbinde sana. Ila kingine kama Mungu ajakupandia mzee wangu Relax usilazimishe. All in all 🙏. Nimewaambia aya ili mjipange kisaikolojia watafutaji.
 
Noma sana.
Noma sana.
Mibuyu kuna muda inatunishiana vifua.
 
Yes mzee mibuyu inazidiana na jeshini huku ni amri tu. Watu ambao hawanaga stress ni wale ambao mbanga zao sio maofisa wa askari wa jwtz. Utakuta raia tu lkn ana influence kwenye jeshi ukiwa na mbanga wa ivyo mdg wangu kunywa maji jiandae na cozi mwezi wa 6
Mwaka jana makutupora hapo kuna dem alisomwa jina na kwenye usaili hakuwepo mamaee...na jina likasomwa kwenda RTS mdo ujue connection ndo msingi kwenye majeshiii zingine mbwembwe tuuu
 
Yes mzee mibuyu inazidiana na jeshini huku ni amri tu. Watu ambao hawanaga stress ni wale ambao mbanga zao sio maofisa wa askari wa jwtz. Utakuta raia tu lkn ana influence kwenye jeshi ukiwa na mbanga wa ivyo mdg wangu kunywa maji jiandae na cozi mwezi wa 6
Mwanangu mmoja Tulikua nae OP SAMIA Kaja kutembea intake iliyopita na Miaka 60 tena kwa form 4 tuu mamaee...na umrii umezidii 😂😂😂 kulalekii kuna mzito Alipiga simu moja tu jamaa kachukuliwaa...Aiseee Connection ndo kila kitu jamaniii ngoja tu tupambanee🤲
 
Back
Top Bottom