๐๐๐๐๐๐ dogo sijasema. Usije kunigombanisha na mzee wangu.
๐๐๐๐๐๐ dogo sijasema. Usije kunigombanisha na mzee wangu.
Anhaa โฆ..mwanzoni wakat nimemuomba yule kanali anisaidie alikubali ila dakika za mwisho alikuja kusema kapewa nafas4 tu na zote inatakiwa aingize ndugu zake ambao tayar walikua wako vikosin(makambini) daah niliumia sana kukosa iyo nafas nikabaki tu kutulia maana sikua na lakufanya tenaWanazingatia kwenye usaili yes. Ukizidi umri husika kulingana na elimu wanakukata ila mbanga yako ikiwa nzito hawazingatii hiko muhimu
Yeah niliona kaweka code apo ila uzuri kamanda IBUGE namjua, nishafatilia sana press zake na vijana wake wa military science ๐Mkuu jamaa kaweka Code wewe umeenda kuifungua mazima๐๐
Kakaa hebu naomba pande kwa mzee wakoo๐คฒ๐คฒ๐๐๐ dogo sijasema. Usije kunigombanisha na mzee wangu.
Muibukie PM huyo mkagombane vzr hukoKakaa hebu naomba pande kwa mzee wakoo๐คฒ๐คฒ
Saivi itakua vigumu sana kama unataka bogi ili .na kwasasahivi ugumu mwingine me nipo kwenye chombo alafu bora hata ningekua afisa, bado private kumfata kumuomba nafasi itakua ishu kwasababu sio ndgu yangu ni mzee anayeheshimiana na mzee wangu labda kama hii ishu ikipita ukiwa tayari kwaajiri ya intake nyingine nipigishe shoti kwa wife wake. Yeye Mara nyingi nikimpigiaga ni kwaajiri ya kumsalimia tu hatuongeagi kabisa kuhusu kazi za watu. Na sio brg ibuge kama alivyomtaja kijana ๐๐โKakaa hebu naomba pande kwa mzee wakoo๐คฒ๐คฒ
Mkuu kama kweli uyo mbanga wako sio IBUGE basi huyo ni meja generali JAIROS MWASEBA ๐ ๐Saivi itakua vigumu sana kama unataka bogi ili .na kwasasahivi ugumu mwingine me nipo kwenye chombo alafu bora hata ningekua afisa, bado private kumfata kumuomba nafasi itakua ishu kwasababu sio ndgu yangu ni mzee anayeheshimiana na mzee wangu labda kama hii ishu ikipita ukiwa tayari kwaajiri ya intake nyingine nipigishe shoti kwa wife wake. Yeye Mara nyingi nikimpigiaga ni kwaajiri ya kumsalimia tu hatuongeagi kabisa kuhusu kazi za watu. Na sio brg ibuge kama alivyomtaja kijana ๐๐โ
Usiwazee kakaa acha nikomae na mbangaa wanguu tuone ikibidi ntalala mpaka makaburinii ili nivae bakaa๐Saivi itakua vigumu sana kama unataka bogi ili .na kwasasahivi ugumu mwingine me nipo kwenye chombo alafu bora hata ningekua afisa, bado private kumfata kumuomba nafasi itakua ishu kwasababu sio ndgu yangu ni mzee anayeheshimiana na mzee wangu labda kama hii ishu ikipita ukiwa tayari kwaajiri ya intake nyingine nipigishe shoti kwa wife wake. Yeye Mara nyingi nikimpigiaga ni kwaajiri ya kumsalimia tu hatuongeagi kabisa kuhusu kazi za watu. Na sio brg ibuge kama alivyomtaja kijana ๐๐โ
Unaweza kutemwa ndio na badae jina likaja...maana kwenda msata sio ndo umepita mchujo woteWakuu kuna mtu nimeongea naye yeye yupo kikosini uko kwenye majina ya kwenda msata katemwa lakin mbanga wake kamwambia asubir na atulie, mbanga wake anasema safar hii bogi ni mbili la oljoro na msata
Dah nomaWakuu kuna mtu nimeongea naye yeye yupo kikosini uko kwenye majina ya kwenda msata katemwa lakin mbanga wake kamwambia asubir na atulie, mbanga wake anasema safar hii bogi ni mbili la oljoro na msata
Kuna jamaa mwingine alikua anaitwa kalagabaho nongwa daah sijui yuko wapi jamaa anafurahisha sana huyu ๐Kuna mwamba lonja zake zilikuwaga zimenyooka sana sijui yupo wapi siku hizi Bachelor II
Tena nyamaza wasije wakakuskia maana naskia pale kuna figisu nyingi unaweza pewa ugonjwa ambao hata huna ilimradi tu uwe unfit alafu watu wachukue iyo nafas๐ โฆ.ni swala la kumuomba tu Mungu.Jamani naomba mnieleweshe jambo hivi kwenye usaili pale makutu unaweza kutemwa kwa kuwa una vidonda vya tumbo??
Kwahiyo swala la kukusanya zile barua za maombi pale ngome yalikua ni maigizo au sioo โฆ..ila kitengee ๐๐Bila Connection huvai kitenge kamwee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie danganyaneni hapa, Lol
Naona mkuu umeamua kugawa za vichwa tu.Bila Connection huvai kitenge kamwee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie danganyaneni hapa, Lol
Ila vijana wana mambo sana.Saivi itakua vigumu sana kama unataka bogi ili .na kwasasahivi ugumu mwingine me nipo kwenye chombo alafu bora hata ningekua afisa, bado private kumfata kumuomba nafasi itakua ishu kwasababu sio ndgu yangu ni mzee anayeheshimiana na mzee wangu labda kama hii ishu ikipita ukiwa tayari kwaajiri ya intake nyingine nipigishe shoti kwa wife wake. Yeye Mara nyingi nikimpigiaga ni kwaajiri ya kumsalimia tu hatuongeagi kabisa kuhusu kazi za watu. Na sio brg ibuge kama alivyomtaja kijana ๐๐โ