Mtaani kugumu, vijana wamechoka na mitaaIla vijana wana mambo sana.
Huwa naona mitandao wanavyowakandia majeshi na maaskari kwamba si lolote si chochote kumbe mioyoni mwao na wao hizi kazi wanazitaka.
Mtaani kugumu, vijana wamechoka na mitaaIla vijana wana mambo sana.
Huwa naona mitandao wanavyowakandia majeshi na maaskari kwamba si lolote si chochote kumbe mioyoni mwao na wao hizi kazi wanazitaka.
Noma sana kwa kweli! Kipindi hicho sisi kuna jamaa alikuwa analewa na kuzima daily na kujikojolea juu hahah! Kisa bogieNina dem wangu yuko kambi moja huko ametemwa kwenye bogi analia huyo muda wote
Sasa kwanini huwa wanajifanya kuikandia kazi ya ujeshi au wakikosa ndio inakuwa mbayaMtaani kugumu, vijana wamechoka na mitaa
Nani ajile akae afungue barua moja moja na zipo zaidi ya 10000....hakuna muda huooo watu wana watu waoooKwahiyo swala la kukusanya zile barua za maombi pale ngome yalikua ni maigizo au sioo …..ila kitengee 😂😂
Hilii liko waziiiBila Connection huvai kitenge kamwee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie danganyaneni hapa, Lol
Watu wanaendaga na upepo tu mzee af kumbe deep down wanapenda bakaSasa kwanini huwa wanajifanya kuikandia kazi ya ujeshi au wakikosa ndio inakuwa mbaya
Kwahyo Mkuu wewe ulikuaga mujibu wa sheria sio!?maana ulisema ulianza usaili wa military science ukatoka ukaja kuoyea intake 44 uliingia kama mujibu 🤔😀😀😀 dogo sijasema. Usije kunigombanisha na mzee wangu.
Hv hata wa fani barua hazisomwi mazeeNani ajile akae afungue barua moja moja na zipo zaidi ya 10000....hakuna muda huooo watu wana watu waooo
Ukiangalia ule ukusanyaji wa barua pale ngome kama kweli wewe unaakali utagundua kua zile barua hakuna mtu anaenda kuzisoma ile ni danganya toto tu. 😂😂Nani ajile akae afungue barua moja moja na zipo zaidi ya 10000....hakuna muda huooo watu wana watu waooo
Mkuu hii itakua kwa darasa la saba na sekondari 😆😆😆 ila wenye fani nahisi lzm wasome 😩😩Ukiangalia ule ukusanyaji wa barua pale ngome kama kweli wewe unaakali utagundua kua zile barua hakuna mtu anaenda kuzisoma ile ni danganya toto tu. 😂😂
Hakuna anaesoma baruaa palee weweee😂😂watajuaje hio barua ndo ya mwenye fani😂😂Mkuu hii itakua kwa darasa la saba na sekondari 😆😆😆 ila wenye fani nahisi lzm wasome 😩😩
Si hua wanatenganisha kaka af mwaka huu ilikua unaandika na jina kwenye daftarHakuna anaesoma baruaa palee weweee😂😂watajuaje hio barua ndo ya mwenye fani😂😂
Yani afande ajire kufungua barua zaidi ya elfu10 kisa anatafuta watu wenye fani!! mbona hii hainiingii akilini 😂😂 …..all in all tumuombe sana MunguMkuu hii itakua kwa darasa la saba na sekondari 😆😆😆 ila wenye fani nahisi lzm wasome 😩😩
Mkuu hua wanazitenganisha na mara nyingu wanachagua wanazozitaka kwa mda huoY
Yani afande ajire kufungua barua zaidi ya elfu10 kisa anatafuta watu wenye fani!! mbona hii hainiingii akilini 😂😂 …..all in all tumuombe sana Mungu
Haya pale majina wameandika watu wangapiii!? Usijichoshe kama huna connection baka utaliskiaa tuu mzee we ni mgeni wa haya mambo sioo!?😂Si hua wanatenganisha kaka af mwaka huu ilikua unaandika na jina kwenye daftar
Hmn mzee naelewa ila si unajua haya mambo kila kitu kinategemeana na miakaHaya pale majina wameandika watu wangapiii!? Usijichoshe kama huna connection baka utaliskiaa tuu mzee we ni mgeni wa haya mambo sioo!?😂
Majina ndo nini mzee!!😅 ……Kaka miaka yote hua tunaandika majina kwenye daftar tena mwaka juzi tulikua tunaandika mpkaka force number kwenye daftar kama huna force number ulikua unatimuliwa bt pamoja na force number hizo ila mwisho wa siku niliishia kuona watu wakiapa pale msata 😂😂Si hua wanatenganisha kaka af mwaka huu ilikua unaandika na jina kwenye daftar
Jamaa anakaza hataki kuelewaa😂😂😂Majina ndo nini mzee!!😅 ……Kaka miaka yote hua tunaandika majina kwenye daftar tena mwaka juzi tulikua tunaandika mpkaka force number kwenye daftar kama huna force number ulikua unatimuliwa bt pamoja na force number hizo ila mwisho wa siku niliishia kuona watu wakiapa pale msata 😂😂
Hakuna cha kutegemea miaka wala niiniii....utaratibu ni ule ule kama huna mbuyu tulia kwenuuHmn mzee naelewa ila si unajua haya mambo kila kitu kinategemeana na miaka