Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Shidaa... Watu ambao maelekez hawana hawatoboi ndo mana watu wameona bora na wao watafute maelekez sasa ndo man wamekua weng
Msemaji anakwambia alikua anakuja mbanga mmoja na watu 20, mtu 10 sio poa wengine barua zetu zimefungiwa vitumbua😂
 
Na.. Kun wengin wanaongezwa makutupora kwa ajir ya usail
 
Kuna mwana anasema walikua wanaenda lets say pale muhimbili wanachkua watu, wao kadhaa kimya kimya
Kwa uelewaa unadhani hao specialist utawapata wapi ambao hawana kazi yaan wako jobless!?na wengine ambao taaluma zao ni adimu ambazo nyingi watu wengi hawazisomi sana Vyuoni !?? Mfano hizo za Marines Piaa
 
Marine s ndo watasomeshwa hao fomsix leavers
 
Zikifika nafasi Za sungu sungu mniambie ni apply 😅maana hii ishapita sasa
 
Vip.... Waku waliopo makutupora washasomewa majina???
 
Back
Top Bottom