Uzi.... Umekatika... NGOJA wakubwa walud kutok jikoni watupe... Ronjaa za kueleweka...Wakuu, kuna yeyote mwenye za ndani kama watu bado wanaripoti msata?
Au ndo washaingia kozi, haha dua mkuu.Uzi.... Umekatika... NGOJA wakubwa walud kutok jikoni watupe... Ronjaa za kueleweka...
Watu... Bado wapo makut... Majib hayajalud.. Ila wanasem jtatu wanaweza somewa majinAu ndo washaingia kozi, haha dua mkuu.
Haya msata bado wanafanya usahili.wa makutopora bado wapo pale wanasubiri majibu kwenda kuungana na WA msata.na msata Kuna vijana Kama 2900Ilole.... Where you... Mkuu utupe za mjengoniii....
Sawa.... MkuuHaya msata bado wanafanya usahili.wa makutopora bado wapo pale wanasubiri majibu kwenda kuungana na WA msata.na msata Kuna vijana Kama 2900
Sawa.... Mkuu
je? Kwa mudaa huu walal salama.. Kun uwezekano wa mtu kup
Asante kwa taarifa Mkuu.Watu... Bado wapo makut... Majib hayajalud.. Ila wanasem jtatu wanaweza somewa majin
Jumatatuu hayasomwi majinaa mzee bali kuna watu waliopigiwa simu last week kwa kuchelewa wanaanza usailii na waooWatu... Bado wapo makut... Majib hayajalud.. Ila wanasem jtatu wanaweza somewa majin
Aaaaah.... Sawa mkuuuh kikubwa ni kupeama updateJumatatuu hayasomwi majinaa mzee bali kuna watu waliopigiwa simu last week kwa kuchelewa wanaanza usailii na waoo
Unyamaa kakaa...Pamojaa sana✊Aaaaah.... Sawa mkuuuh kikubwa ni kupeama update
Bogi la michezoo!??🙄🙄Jamani nauliza katika mabogi ya polisi kuna bogi la michezo linaluwa lishaondoka au bado lipo
Nauliza kweli boss wangu naomba maelekezo kama unauelewa nalo ilo bogiBogi la michezoo!??🙄🙄
Kwa upande wanguu sijawahi kulisikiaa....!!Nauliza kweli boss wangu naomba maelekezo kama unauelewa nalo ilo bogi
Shidaa... Watu ambao maelekez hawana hawatoboi ndo mana watu wameona bora na wao watafute maelekez sasa ndo man wamekua wengJuzi msemaji wa jeshi ametoka front kulalamika kwamba watu wanakuja vijana wa maelekezo kwa force