Mtpd
Senior Member
- Mar 31, 2025
- 166
- 33
Kila kitu kinawezekan ni maelekez tumsaad kwa anae jua kuna mbanga kanipang kuwa kuna nafasi ya kuingia moja kwa moja kutokea makao makuu ila was was unakuj kwa maelez yake ni kuw mm naitajik kwend moj kwa moj chuon ila nikifik niseme nimetok makao makuu hv ii inawezekan ila ajaomba ela hv hilo linawezekan kwel??