duuuh kunakutoboa kwlTumeambiwa watu wenye fani adimu wataenda TMA wengine kihangaiko Ila upite kwanza kwenye usaili hayo ndo ya muhimu mengine ni kuhusu vyeti na maushauri tu
Hiyo kutok 834kj
level ya 4 na 6 vpAna fani hadimu au ni level ya 4m 4 na 6?
Acha siasa kijana kwahyo hao wakujitolea wote wanakuaga Familia za kijeshi au😅😅....yani k2 kama hakijawa ridhiki yako basi lazima kiwe kigumu ila siku ikifikia Ata iweje lazima uzame chombon.Ukweli mchungu kama sio familia za kijeshi sahau kuingia jeshini na wanafanya Ivo kuondoa uhasi apo badae.......
Awachukui watu ovyo kila la kheri wapambanaji.....
Wewe umepita oljoro jkt ila usiseme unalijua jeshi acha maneno mengi kaa tulia kijana.Hakuna mtu wa kujitolea anayeingia chomboni bila maelekezo
Waliobahatika ni wale wa
Msomela
Na ukuta wa merelani
Kwa uchache nayajua majeshi vizuri kuanzia
1.marine
2.infartry
3.air defence
4.mizinga
5.92
6.jkt
Pia nazijua kambi za jeshi la kujenga taifa mfano ni 833kj orjolo
Na uwanja wa damu na kitundu naweza kukupa mpaka ruti zake
TMA napajua sijakurupuka ninacho kwambia......
Kupita kwenda wapi, unafikiri nilikuwa sioni mchakato wa recruitmentWewe umepita oljoro jkt ila usiseme unalijua jeshi acha maneno mengi kaa tulia kijana.
Source za information zipo... Kimy hatupat update....tunashindwa toa taarifaAny update wakuu
anaemaliza usaili anaondoka au anabaki?Raia... Bado wanaripot 834 kj wakutoshaa sanaa... Na bado usaili unaendelea ko wapambanaji... Wenye mimbang kuen na subra🙏
Wanabakiii... Mbak majibu yaludanaemaliza usaili anaondoka au anabaki?
accomodations wanajitegemea wakiwa hapo?Wanabakiii... Mbak majibu yalud
Hapna kule unapewa kila kitu mana unakua kam mzalend tu ko kila kitu juuh ya jeshaccomodations wanajitegemea wakiwa hapo?
mpaka vipimo wanafanya?Hapna kule unapewa kila kitu mana unakua kam mzalend tu ko kila kitu juuh ya jesh
Nmeskia Kesh wanaanza usaili wa vipimo zoezi la kukagua vyeti tayar inshort kama bado ujapigiwa simu ndio imeisha iyompaka vipimo wanafanya?
msata hakuna tena usaili?Nmeskia Kesh wanaanza usaili wa vipimo zoezi la kukagua vyeti tayar inshort kama bado ujapigiwa simu ndio imeisha iyo
Ndio imeisha ivomsata hakuna tena usaili?