Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kuondoka kambini ni mbaka pale utakapo somwa unfit. Nikikumbuka experience ya 2021. So ukiliport pale wanakutem kama mzalendo kwa kipindi chote mnapo subir maelekezo toka kwa wakubwa.
 
Idadi ambayo imesharipot ni mia tano + , na weng sana wameriport Leo. Kama hujapigiwa sim na Leo sahau kabisa, sumbua mbanga kabla bog halijaenda msata
 
Nauliza kijana aliepangiwa kwenda na asipoenda huko jeshini kuna shida yoyote???

Na akishaenda huko faida yake ni nini.

Mambo mapya haya wazee enzi zetu hayakuwepo
 
Nauliza kijana aliepangiwa kwenda na asipoenda huko jeshini kuna shida yoyote???

Na akishaenda huko faida yake ni nini.

Mambo mapya haya wazee enzi zetu hayakuwepo
  • Bila shaka unaongelea kidato cha sita.
  • Hakuna shida asipoenda
  • Faida yake ni kujifunza uzalendo na kazi za mikono
 
  • Bila shaka unaongelea kidato cha sita.
  • Hakuna shida asipoenda
  • Faida yake ni kujifunza uzalendo na kazi za mikono
Ahsante sana mkuu, kwa definition ya uzalendo ya hivi karibuni.....acha tu akae nyumbani asugue masufuria
 
Idadi ambayo imesharipot ni mia tano + , na weng sana wameriport Leo. Kama hujapigiwa sim na Leo sahau kabisa, sumbua mbanga kabla bog halijaenda msata
Hayo maneno yako tu watu wanaingia msata Ata siku 1 kabla ya kozi na wengine kozi ishaanza kabisaa inategemea una nani nyuma yako....Afu issue ya hao walioitwa mpaka sahv usitegemee ety kisa ulipeleka au ulituma maombi ndo utaitwa hiko kitu sahau yani hao wote walioitwa ni watu wenye mbanga na wengi wao hawakutuma Ata hayo maombi yenyewe.

Kwhyo kaa kwa kutulia ikiwezekana fanya mambo yako tu subirin kuungana na kadoshi TV siku ya kuapa.😷☠️
 
Idadi ambayo imesharipot ni mia tano + , na weng sana wameriport Leo. Kama hujapigiwa sim na Leo sahau kabisa, sumbua mbanga kabla bog halijaenda msata
Kweli kabsa hata uwe na moja ya zile kozi walizotaja kwenye tangazo ila Kama hauna maelekezo hakuna sehemu utaenda. Unashangaa watu wanaapa tu msata. Kila la kheri kwa wapambanaji watakaobahatika.
 
Taarifa nilizo nazo kuwa watu baxo wataendelea kuitwa na watu bado wataingia makutu... Jwa usaili.... Kikubwa sumbua mbanga yak tu
 
Taarifa nilizo nazo kuwa watu baxo wataendelea kuitwa na watu bado wataingia makutu... Jwa usaili.... Kikubwa sumbua mbanga yak tu
Hivi wanapigia kupitia namba gani? Ni zile official za serikali? (Zile namba za simu ya mezani), au hata hizi za voda/tigo na kadhalika?
 
Back
Top Bottom