Hapana kuna ambao wameambiwa tarehe tatu by de way hili zoezii la kupiga cimu ni endelevu..ni siku moja tuu ya usaili wa vyet?
Hapana kuna ambao wameambiwa tarehe tatu by de way hili zoezii la kupiga cimu ni endelevu..ni siku moja tuu ya usaili wa vyet?
Changamoto ni fani adimuu nduguu wengine tunamqgamba ya jkt 2Hahahah kwahyo humu hamna aliepigiwa ila mnasikia kwa watu tu kua wanapigiwa,
Kikubwa mbanga wananguu....usaili wanaenda lini
Natengua kauli ,form 4 wapo wameriport Leo na la Saba mmoja. Imekaaje hiiHapana mimi nawanangu wana dip ya dental wamepigiwa cimu
Kuna wa dip ya nursing pia kapigiwa
S8fa mbangaNatengua kauli ,form 4 wapo wameriport Leo na la Saba mmoja. Imekaaje hii
S8fa mbang
Sidhani na Ata kama itakuwa hvyo nakushauri usitume kama huna mbanga.wakuu ivi kama ilo bogi la pili litakuepo wa mtaani itabidi tutume tena maombi au itakuwaje
any update wakuu
Anafani gan mkuuSimu bado zinaita kweny cycle yaku kun mwamba kapokea simu alikua op mabeyo.. Level ya elimu ni form four... Ila alikua ni wakujitolea
Amesema wakujitolea op mabeyo form4Anafani gan mkuu
Anafani gan mkuu
Up to now cm bado zinaita au washamaliza?Simu bado zinaita kweny cycle yaku kun mwamba kapokea simu alikua op mabeyo.. Level ya elimu ni form four... Ila alikua ni wakujitolea
Simu badooo zinaitaa na watu wana report 834kjUp to now cm bado zinaita au washamaliza?
Aaaa sio fundi wa kuchomelea kweli maana walihitajikaAmesema wakujitolea op mabeyo form4
Inamaana hapo kama walioenda wameambiwa mwisho taree 3 bhas kama ikipita taree 3 haujapigiwa ndo itakua imeisha?Simu badooo zinaitaa na watu wana report 834kj