The Captain09
Member
- Sep 6, 2024
- 67
- 36
Ndyo wanaenda kama Chuo cha Muhimbili pale wanachukua maspecialist wanaohitaj kujiunga na jeshi.Brooooh JWTZ wakufatee wewe chuon.... Kabisa😂😂😂... Wakati kila mwaka wanachukua BMS wa six.....
Ndyo wanaenda kama Chuo cha Muhimbili pale wanachukua maspecialist wanaohitaj kujiunga na jeshi.Brooooh JWTZ wakufatee wewe chuon.... Kabisa😂😂😂... Wakati kila mwaka wanachukua BMS wa six.....
Kumbe jwtz wanamifumo .. Ya kuchukua watuSio uongo , Mimi mwenyew nilikuwa mwaka wa kwanza MUST mbeya , walikuja watu wakaandika majina na fani zao , baadae mwez wa 1 2022 watu wakaanza pigiwa simu ,na Kuna mwanangu saiv ni afisa alisoma civil eng must alichukuliwa
Nimeelewa wakuuuh..... Basi awa watu hawana formal maalumNdyo wanaenda kama Chuo cha Muhimbili pale wanachukua maspecialist wanaohitaj kujiunga na jeshi.
Yah mzee maana wakisema wanahitaji mtu wa fani maybe ya General surgeon au Electronics Engineering kwa haraka...4m 6 hana fani yoyote mpaka apelekwe akasome tena then itachukua mda wakat kuna watu wapo tayari wana hizo fani.Nimeelewa wakuuuh..... Basi awa watu hawana formal maalum
Ndiyo. Ni kulingana tu na uhitaji waoNimeelewa wakuuuh..... Basi awa watu hawana formal maalum
Apo ndo swala la education linatake placeYah mzee maana wakisema wanahitaji mtu wa fani maybe ya General surgeon au Electronics Engineering kwa haraka...4m 6 hana fani yoyote mpaka apelekwe akasome tena then itachukua mda wakat kuna watu wapo tayari wana hizo fani.
hao kozi zao zinakua miez mingap wakipatikanaYah mzee maana wakisema wanahitaji mtu wa fani maybe ya General surgeon au Electronics Engineering kwa haraka...4m 6 hana fani yoyote mpaka apelekwe akasome tena then itachukua mda wakat kuna watu wapo tayari wana hizo fani.
Wakuuu ndo tuseme kwamba imeisha kwa tusio pigiwa simu au tuamini aija isha mpk.millard ayo aposthao kozi zao zinakua miez mingap wakipatikana
hapajakucha mpaka pakucheWakuuu ndo tuseme kwamba imeisha kwa tusio pigiwa simu au tuamini aija isha mpk.millard ayo apost
Inategemea wanaweza wakapiga kozi ya awali Ata miezi minne then wanapelekwa TMA.hao kozi zao zinakua miez mingap wakipatikana
Nokuna aliepigiwa leo?
Namjua mmoja kapigiwa leo saa 5 asubuhkuna aliepigiwa leo?
usail kaambiwa liniNamjua mmoja kapigiwa leo saa 5 asubuh
Kwa yeye binafsi kaambiwa hadi tarehe 3 awe asharipotiusail kaambiwa lini
Ndyo anayo fani hadimu....hakuna aliyeombea 4m 4 na 6 ambae kapigiwa hadi sasa ni fani ndo wanaopigiwa simu.Huyo wa tarehe tatu niwale wenyefani.
Ko.... Form 4 na 6 wanapaswaa kutulia simu zao zitaitaaa mwishon mwishoniiiNdyo anayo fani hadimu....hakuna aliyeombea 4m 4 na 6 ambae kapigiwa hadi sasa ni fani ndo wanaopigiwa simu.