Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Haiwezekan mzee ndomana nimesema waache kugushi taarifa.
Poa tusubirin tutaona. Wataopigiwa simu usaili makutupora ni wenye taaluma peke Yao ambao watakuwa wachache sana kulingana na uhitaji wa makao makuu. Baada wa usaili makutupora watajoin msata
 
Waliotoboa mkataba wa kujitolea tayar. Ila wenye fani Bado
Waliotoboa mkataba si wapo vikosin na wao walishaenda msata au wewe unasemea waliotoboa mkataba Op zilizopita na wakarudig home ndo wameitwa? yeyote anayetokea mtaani lazima aende makao kwaajil ya usahili hawezi kwenda msata tu.
 
Op Samia na mabeyo, vikosin wapo op Miaka 60 ya jkt watatoboa mkataba mwez wa 12, na op Miaka 60 ya muungano ambao ndo wameapa mwaka huu
 
Back
Top Bottom