Mtpd
Senior Member
- Mar 31, 2025
- 166
- 33
.... Nililopoea leo asubh.... Nimepokea simu kwa mbanga yangu.... Kanichana kuwa simu zitaita kwa wenye fani hadimu... Na wale ambao walifany usaili... Mwezi watatu... Ila ili kuniingiza kweny mfumo..kaniambia kuwa ivi karibuni.. Kutakua na bogi lingine litaitwa mwezi wa saba au wanane na litakua la orjolo......
Ila... Kwa ukomavu wangu wa akili ambao nipi nao....nimeelewa ngoma ngumu kwa upande wake na Ngoma imeshaisha vijana tujipange wakati mwingine asanteni...... 😭😭
Ila... Kwa ukomavu wangu wa akili ambao nipi nao....nimeelewa ngoma ngumu kwa upande wake na Ngoma imeshaisha vijana tujipange wakati mwingine asanteni...... 😭😭
Mwaka wa kuforce