Ata cc madereva wa land cruiser sio fani adimuSimu zinaanza kupigwa kuanzia week ijayo kwa watu wa mtaani hakikisha una fani hadimu mbali na hapo tafuta mbanga.
Ata cc madereva wa land cruiser sio fani adimuSimu zinaanza kupigwa kuanzia week ijayo kwa watu wa mtaani hakikisha una fani hadimu mbali na hapo tafuta mbanga.
Fani hadimu ziliorodheshwa kwenye tangazo ukipata mda pitia tena.Ata cc madereva wa land cruiser sio fani adimu
Form six watakao chukuliwa ni PCB , PCM ,PGM na CBG wenye ufaulu mzuri , hao wataungana na baadhi ya wale BMS kwenye program za mafunzo nje ya nchi . Kuna na mbanga maji marefu utanikumbuka. Bachelor na diploma baadhi watapga reflesha ya miez minne Ili mwez wa 12 waungane na BMS ambao hawatoenda nje waanze koz pamoja , baada ya mwaka mmoja au miez 6 kulingana na makao makuu watavohtaji kuwatumia watapokea kamishen na kuwaacha BMS wakiendelea na Miaka Yao miwili itakayobakiaFani hadimu ziliorodheshwa kwenye tangazo ukipata mda pitia tena.
Jeshini hakuna reflesha mzee nani kakudanganya.jeshi hakuna Mambo ya bahati mbaya.kila kitu kipo kwenye utaratibu wake.Form six watakao chukuliwa ni PCB , PCM ,PGM na CBG wenye ufaulu mzuri , hao wataungana na baadhi ya wale BMS kwenye program za mafunzo nje ya nchi . Kuna na mbanga maji marefu utanikumbuka. Bachelor na diploma baadhi watapga reflesha ya miez minne Ili mwez wa 12 waungane na BMS ambao hawatoenda nje waanze koz pamoja , baada ya mwaka mmoja au miez 6 kulingana na makao makuu watavohtaji kuwatumia watapokea kamishen na kuwaacha BMS wakiendelea na Miaka Yao miwili itakayobakia
Fuatilia intake ya waliopokea kamishen 2022 walioanza koz wakiwa buku lakini wakamaliza 500. Walipga reflesha koz makutupora miez 4 then wakaunga monduli kaka.Jeshini hakuna reflesha mzee nani kakudanganya.jeshi hakuna Mambo ya bahati mbaya.kila kitu kipo kwenye utaratibu wake.
reflesha koz ikoje mkuu🙏Fuatilia intake ya waliopokea kamishen 2022 walioanza koz wakiwa buku lakini wakamaliza 500. Walipga reflesha koz makutupora miez 4 then wakaunga monduli kaka.
reflesha koz ikoje mkuu🙏
Nakumbuk kipind tupo mujibu op mabeyo 2022 834 kj kulikua na madaktar wameanza koz pale makutupora ila sikujua kama walienda msata mana sisi tuliwaachaFuatilia intake ya waliopokea kamishen 2022 walioanza koz wakiwa buku lakini wakamaliza 500. Walipga reflesha koz makutupora miez 4 then wakaunga monduli kaka.
Bms wanachukuaga fresh 4m 6 from scul na ukiona wengine wanachukuliwa ujue maelekezo ila usiseme ety waliotuma maombi 4m 6 wataenda Bms wakat kuna madogo wa 4m 6 watagemewa waende jkt kesho kutwa tu hapo. Hao madogo ndo watachukuliwa kama Bms. Na kuhusu bachelor na diploma unaweza ukapiga kozi na bado ukawa mjeda wa kawaida na usiwe Afisa kwenda TMA usifikirie ni simple kijana lazima upiganishe...kuna wajeda wana degree za Afya waliajiriwa mwaka 2023 ila mpaka sasa hivi bado hawajaenda TMA kwhyo sio kila mwenye 4m 6 au Elimu ya juu ndo atakuwa Afisa wa jeshi maisha hayapo sio simple kama hvyo kijana.Fuatilia intake ya waliopokea kamishen 2022 walioanza koz wakiwa buku lakini wakamaliza 500. Walipga reflesha koz makutupora miez 4 then wakaunga monduli kaka.
Wale walitengwa wakawahi koz ya afisa iliyokua inaanza mapema , walipga na BMS mwaka mmoja then koz ya mwaka ilivoisha wale wenye taaruma mainjinia na madaktari wakapokea kamishen 2023 December pamoja na military science waliokua wamemaliza Miaka mi3Nakumbuk kipind tupo mujibu op mabeyo 2022 834 kj kulikua na madaktar wameanza koz pale makutupora ila sikujua kama walienda msata mana sisi tuliwaacha
Wale walitengwa wakawahi koz ya afisa iliyokua inaanza mapema , walipga na BMS mwaka mmoja then koz ya mwaka ilivoisha wale wenye taaruma mainjinia na madaktari wakapokea kamishen 2023 December pamoja na military science waliokua wamemaliza Miaka mi3
Kuanzia week ya kesho na kuendelea simu zitaanza kuita.Alal in all tusibiri watu waripot msata then tuone yatakayojiri huko ... Hizi zote ni ronja tu
Lts wait and seeKuanzia week ya kesho na kuendelea simu zitaanza kuita.
Hahahahaha usiwe na khofu kijana, utaitwa tuIla ili jambo lipite kwa kwelii
Oyaaa mzee inaweza kuwa kam mwaka jana tukaon vijan wanaaapa rtsHahahahaha usiwe na khofu kijana, utaitwa tu
Wanazingua usipokuw hewani si watume ata sms mtu uikute, ivi wazee izo namb zinazo tumiwa kupigiw watu ni namb special au ni izi izi tuYeah , Ila usipokuwa hewan ndio baas Tena , labda kama taarifa atakuwa anakupa mbanga wako,
Ngoj tutulieee... TuoneeeWanazingua usipokuw hewani si watume ata sms mtu uikute, ivi wazee izo namb zinazo tumiwa kupigiw watu ni namb special au ni izi izi tu