Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Majibuu
 

Attachments

  • Waziri_wa_Ulinzi_na_Jeshi_la_Kujenga_Taifa,_Dkt._Stergomena_Tax_ametolea_u...Waziri_wa_Ulinzi_...mp4
    2.3 MB
Kihangaiko inauwezo wa kuchukua vijana zaidi 4000 bogi la Nini?na bms wanamaliza mwezi ujao hapo kihangaiko
 
Mwaka huu mabogi ni mangapi? Na vipi wa form six walioko mtaani Kuna possibility ya kuitwa?
Walikuwa wanakata mabogi mawili sababu kihangaiko miundombinu ilikuwa haijakamilika sasa Rts imejitosheleza Kwa miundombinu
 
Walikuwa wanakata mabogi mawili sababu kihangaiko miundombinu ilikuwa haijakamilika sasa Rts imejitosheleza Kwa miundombinu
Na vip kuhusu wale wa form six ambao wameomba kutokea mtaani
 
Ahaaa sawa nimekuelewa, vipi kozi inategemewa kuanza mwezi wa ngapi? Na usaili msata kwa waliotokea makambini washaaanza?
Kihangaiko inauwezo wa kuchukua vijana zaidi 4000 bogi la Nini?na bms wanamaliza mwezi ujao hapo kihangaik
 
Back
Top Bottom