Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Simu zishaanza kwa baadhi ya watu wenye mbanga nzito wenyewe wameripot direct msata ila simu za makao nadhani ni next week na msata watu wanaendelea kufanyiwa vipimo.
itara

duuu ni hatar mpaka mbanga zinazidianaa sio pw
 
Wakuu vipi mjengon kunasomeka au ukimy ndo kam w mwaka jana...
 
Watu wamesharipoti makambini na wengine ndio wanaendelea kuripotii simu zitalia chache sana kwa wenye fani zilizotajwa na ila kwa wasio na fanii form 4 six ni uongo wale wamechukuliwa kwenye makambi ya jkt...
 
Duh hizi kazi Sasa inabidi kunyoosha mikono tu Zina wenyewe!
 
Back
Top Bottom