Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ili jambo mbona kama lilo seriously iv....

"Yh kweny circle yangu yupo moja na kambiwa kwnzia trh 2 wananza ripoti wa kitaa makutupora for usaili"

Mwana flan iv kanipatia
 
Mmh hii ngoma ni kama ya mwaka jana na mwaka juzi tu.
 
Kwa wale waliokua nnjee ya makambi(uraiani) ngoma ni ngumu…..labda kama mbanga wako ni brigedia, meja ganeral, luten general au CDF mwenyewe.
 
vipi zoez la simu weekend?
Hawana formula maalum hawa, nakumbuka 2021 walitaka watu wenye elimu so walipita mavyuoni...walivyoanza piga simu ad wkend walikua wanapiga,, na kunawakat walikua wanatumia hadi simu za kawaida, kwaiyo kama ume apply this time usipuuzie siimu eote kipindi hiki
 
Brooooh JWTZ wakufatee wewe chuon.... Kabisa😂😂😂... Wakati kila mwaka wanachukua BMS wa six.....
 
Bro kama huna ulijualo uliza utaelekezwa, asa form six anakua anaujuz gan?, kunawakat jeshi linahitaji watu wenye ujuz na ndio Maana wanavyofanya ivo. Ukitaka detail za iyo intaak nitakujuza
 
Brooooh JWTZ wakufatee wewe chuon.... Kabisa😂😂😂... Wakati kila mwaka wanachukua BMS wa six.....
Sio uongo , Mimi mwenyew nilikuwa mwaka wa kwanza MUST mbeya , walikuja watu wakaandika majina na fani zao , baadae mwez wa 1 2022 watu wakaanza pigiwa simu ,na Kuna mwanangu saiv ni afisa alisoma civil eng must alichukuliwa
 
Mwambahana data anabisha,
 
Back
Top Bottom