The Captain09
Member
- Sep 6, 2024
- 67
- 36
Official namba za serikaliHivi wanapigia kupitia namba gani? Ni zile official za serikali? (Zile namba za simu ya mezani), au hata hizi za voda/tigo na kadhalika?
Official namba za serikaliHivi wanapigia kupitia namba gani? Ni zile official za serikali? (Zile namba za simu ya mezani), au hata hizi za voda/tigo na kadhalika?
Okay [emoji106]Official namba za serikali
Huyu kapigiwa jana au?
Alipigiwa jumatatuuHuyu kapigiwa jana au?
Aliambiwa aripot kuanzia lin?Alipigiwa jumatatuu
Ameripoti asubuhii janaAliambiwa aripot kuanzia lin?
Ana fani hadimu au ni level ya 4m 4 na 6?Ameripoti asubuhii jana
SIjajua aliombea level ipi,,ila uyo maelekezo ni Mengii Maana ni OP SAMIA.Ana fani hadimu au ni level ya 4m 4 na 6?
Huyo kajipigia mwenyewe😂😂😂Namba itakua ni moja tuView attachment 3355632
Mim ndo nilitest mana mwana alinitumia namb nkasem ngoj nichek nkaona imekuj ivyo😂😂😂😂Huyo kajipigia mwenyewe😂😂😂
Leo hazijaita lakini sioMim ndo nilitest mana mwana alinitumia namb nkasem ngoj nichek nkaona imekuj ivyo😂😂😂😂
Sin mwan kweny cycl yang ambae Leo simu imeitaaLeo hazijaita lakini sio
Ila mbang zinasisitiza kua simu zitaendelea kuitaaaSin mwan kweny cycl yang ambae Leo simu imeitaa
Kweny fani adimu mim mwnyew nimeambiwa ni madaktar tuaaah na nilisikia wameita madaktari tu kwanza kwenye fani adimu bado wengine ni kweli au kamba tu?
Kwani hakun namna mfumo wa selection ukabdilika sasa sisi watt wa maskin tutafik lini huko...Mung asaidie tupat kiongoz bor zaid mweny vision ya kuona kila tabak jesh halin sias lkn jeshin sias zipoUkweli mchungu sana huu, mnooo
Kwa uwez wa Mung wajichangany wabeb na ya kwangHuu ndo ukweli👆……kwa wale mliopeleka barua pale ngome, kama utakua makin utaona kuna baadhi ya watu(wazazi) wanakuja na maelekezo na anampa maelekezo afande pale alaf afande anapokea hizo baasha anashika mkononi hazichanganywi na nyingine ( hao ndo wana mbanga sasa) nyie wengne zakwenu zinakusanywa kama kumbikumbi kisha zinawekwa kweny box😅
Unawez kumlaum ndug yko bure kumbe at yeye ajui namn ya kukusaidia hao nao wana class zaoMambo ni magumuu. Mbanga hazipokei simu ni mwendo wa bluetick wacha tuone