Sidhani kama watabadilisha taratibu zao. Hiyo kuita wenye vyeti vya jkt ni vikao vya kiutendaji ndani ya jeshi vilikaa na kuamua.Bungen wamesema kigezo kisiwe jkt kitolewe
Sidhani kama watabadilisha taratibu zao. Hiyo kuita wenye vyeti vya jkt ni vikao vya kiutendaji ndani ya jeshi vilikaa na kuamua.Bungen wamesema kigezo kisiwe jkt kitolewe
ndio mwisho tar 14Kwani Bado wanatuma maombi wazee naomba mnijuze Kuna dogo yapo kijiji nimpe hii habari
Asante sanandio mwisho tar 14
Kozi miezi sita,wanapiga simu Kwa namba ulizoandika kwenye baruakwa mwenye kujua anijuze
kozi miezi mingap.
kwa watakao chaguliwa njia gan hutumika kuwapa taarifa
Sasa mwanangu kwa sisi tuliotuma toka mkoani, nani atazipokea barua zetu vipi? na hatukipita jkt?Nimetoka leo, nyomi la watu kama chuoni vile na wanapokea barua zote [emoji2] hii kweli imeenda, danganya toto
Kama umetuma kwa EMS wanazipeleka watu wa posta mpaka pale makaoSasa mwanangu kwa sisi tuliotuma toka mkoani, nani atazipokea barua zetu vipi? na hatukipita jkt?
asante, uko very specific, ubarikiweKozi miezi sita,wanapiga simu Kwa namba ulizoandika kwenye barua
Mwaka jana kabla sijaomba hizi kazi nilikua sielew kitu hata mtu akiniambia kupata kaz ni ngumu nilikua naona kama masihara lakin baada ya kuomba na kwenda kweny usaili nimejionea mengi.
Yes nilituma kwa njia hiyoKama umetuma kwa EMS wanazipeleka watu wa posta mpaka pale makao
Siku pita jkt kwa mujibu mwaka wetu fomsix nilikacha japo nilichaguliwaKama umetuma kwa EMS wanazipeleka watu wa posta mpaka pale makao
Naomba kuuliza kama mtu akikupelekea pale makao yanapokelewa?Kama umetuma kwa EMS wanazipeleka watu wa posta mpaka pale makao
Mkuuuh.... Vip swala bungeni.... Wanasema je mjengonKozi miezi sita,wanapiga simu Kwa namba ulizoandika kwenye barua
Ndyo wanapokea Ata kama mtu mmoja akienda na barua 20 wanapokeaNaomba kuuliza kama mtu akikupelekea pale makao yanapokelewa?
Ata kama hujapita jkt unaruhusiwa kutuma muhimu uwe na mbanga hizo zingine ni kelele tuSiku pita jkt kwa mujibu mwaka wetu fomsix nilikacha japo nilichaguliwa
Sasa unamwambia maswala ya mbagaaa....Ata kama hujapita jkt unaruhusiwa kutuma muhimu uwe na mbanga hizo zingine ni kelele tu
duuh na WA mtaani jeView attachment 3330808
VIKOSINI WANAANZA KUSOMEWA MAJINA LEO NA KESHO PIA KWAAJILI YA KURIPOTI MSATA