Mtpd
Senior Member
- Mar 31, 2025
- 166
- 33
PwaniiUyo mkoa gan
PwaniiUyo mkoa gan
Daaah bora uko mwanagu huku dar es Salam jana panga kama elfu moja miatano leo panga kama elfu na kitu daaaahPwanii
Iyo dar ni hatari kabisa image ilala walikua na pdf kama kumi na moja ivDaaah bora uko mwanagu huku dar es Salam jana panga kama elfu moja miatano leo panga kama elfu na kitu daaaah
Vp usaili mulikatwa vp yabMim nilikuja arusha jana nimepiga usaili ni metokea dar mzee kesho nalud zangu kwetu
Mkuu kupigiwa simu sio sababu hao jamaa wanakauhuni sana….mm nakumbuka mwaka jana kweny usaili wa polisi baada ya kumaliza usaili pale kwa mkuu mkoa kila mtu aliondoka kwao kuna jamaa mmoja baada ya week1 akapigiwa simu akaambiwa aende kuna vitu vyake havijakaa fresh jamaa baada ya kuambiwa ivo yani usaili ushaisha week1 nyuma en then na simu kapigiwa basi akajua ajira ashapata na katoboa maana sio kwa kuzingatiwa uko hahahahah pdf la kwenda depo linakuja kutoka jamaa hayumo🤣🤣🤣……hizi kazi bila refaa wa kukuchezeshea kupata ni ngumu.Ila leo kuna mtoto kazingua sana jana alivyopiga usaili alitoboa kila kitu ila leo amejawa na maji kashindwa kwenda kumalizia usaili eti kisingizio mvua wakati leo wenzio walikua wanafany mtihan na nondo zote alikua nazo.na wakaamua kumpigia simu kabis yaniii
Mwaka jana kabla sijaomba hizi kazi nilikua sielew kitu hata mtu akiniambia kupata kaz ni ngumu nilikua naona kama masihara lakin baada ya kuomba na kwenda kweny usaili nimejionea mengi.Umeamuwa kuuacha kuomba
Ila ulifight sana Polisi hebu niambie nyinyi kwenye swala la mbio ilikuwaje kwwenuMwaka jana kabla sijaomba hizi kazi nilikua sielew kitu hata mtu akiniambia kupata kaz ni ngumu nilikua naona kama masihara lakin baada ya kuomba na kwenda kweny usaili nimejionea mengi.
Ili bid hapambane mpaka tone la mwisho broohMwaka jana kabla sijaomba hizi kazi nilikua sielew kitu hata mtu akiniambia kupata kaz ni ngumu nilikua naona kama masihara lakin baada ya kuomba na kwenda kweny usaili nimejionea mengi.
Nilipambana mkuu….usaili kwa Dodomo mpaka kufika hatua ya kwa mkuu wa mkoa sio mchezo mchezo yakupasa uwe umejipanga mzeeIli bid hapambane mpaka tone la mwisho brooh
Mabio kwa mfano sisi kwa upande wa wanawake ilikua ni round5 na wanaume ni round7…..sasa ayo mabio kwa wanaume mnaweza piga round zote7 alafu ukashangaa afande anasema amependa mnavyo kimbia hivyo anaomba muongeze round mbili kwa ajili yake apo ndo utajua hujui🤣🤣…..sisi tulipiga7 tukaongeza mbili, ila usaili ni kukamilisha ratiba tu mzee wanaoenda depo wanajulikana mm nakumbuka kweny usaili tulikua na mshikaji bonge sana yani watu mda wote wanamcheka yan kila mda maafande wanamuongelea yeye tu( we bonge we bonge) hata tulivyoingia pale ndani ofisi ya mkuu wa mkoa nakumbuka kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa pale ndani wakaanza kumwambia kua ww na mwili huo utaweza kweli wakawa kama wanamkataa hivi😄 pia kwenye mabio alikua mwishonimwishoni lakin kwenye pdf la mwisho mwamba alikuepo nakumbuka ile siku pdf limetoka usiku yeye ndo alinitumia….now yupo ccp anapiga kozi, alikua mwanangu….jamaa alikua na maelekezo uyoo mbanga wake kashiba.Ila ulifight sana Polisi hebu niambie nyinyi kwenye swala la mbio ilikuwaje kwwenu
Maneno yako ni kweli kaka nimeamin ila ayo mabio ilikuw trouti au kukimbizanaMabio kwa mfano sisi kwa upande wa wanawake ilikua ni round5 na wanaume ni round7…..sasa ayo mabio kwa wanaume mnaweza piga round zote7 alafu ukashangaa afande anasema amependa mnavyo kimbia hivyo anaomba muongeze round mbili kwa ajili yake apo ndo utajua hujui🤣🤣…..sisi tulipiga7 tukaongeza mbili, ila usaili ni kukamilisha ratiba tu mzee wanaoenda depo wanajulikana mm nakumbuka kweny usaili tulikua na mshikaji bonge sana yani watu mda wote wanamcheka yan kila mda maafande wanamuongelea yeye tu( we bonge we bonge) hata tulivyoingia pale ndani ofisi ya mkuu wa mkoa nakumbuka kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa pale ndani wakaanza kumwambia kua ww na mwili huo utaweza kweli wakawa kama wanamkataa hivi😄 pia kwenye mabio alikua mwishonimwishoni lakin kwenye pdf la mwisho mwamba alikuepo nakumbuka ile siku pdf limetoka usiku yeye ndo alinitumia….now yupo ccp anapiga kozi, alikua mwanangu….jamaa alikua na maelekezo uyoo mbanga wake kashiba.
Maneno yako ni kweli kaka nimeamin ila ayo mabio ilikuw trouti au kukimbizana
Eti mrakibu wa polisi! Wakiniona uwanjani nnavyocheza Kibajaji, ROHO zinawauma #SP🤣Daah😂😂😂…..umenikumbusha kitu, mwaka jana kwenye usaili wa polisi tulifika kwenye zoezi la kuvua nguo kwa ajili ya ukaguzi wa mwili(hii ilikua ni kwa wanaume tu kwa wakati huo)….utaratibu ni kwamba mule ndani kulikua na sehemu kama4 za ukaguzi(yani ni pale hospital mnaingia kwenye wodi ambapo zimetengwa sehem kama4 na kila sehem ina afande ambae ndo anafanya ukaguzi) ukifika pale afande anakwambia vua nguo zote na ubaki kama ulivyozaliwa sasa imagine mtu anaekwambia hivyo ni mwanamke alafu na ww ni mtoto wa kiume hahahahh…..ulikua ukishaingia wodin unaambiwa tu ww nenda pale ww nenda kule, ww nenda huku kwahyo utakapoangukia kwa ukaguzi ndo apoapo unafanya, sasa kuna sehemu moja ya ukaguzi alikuwepo afande binti tu mdogomdogo ana nyota1 na yeye anafanya ilo zoezi la ukaguzi hahahahh walioenda kwake walikua wanalalamika maana ni binti tu mdogomdogo yani ukiangalia mtu mnalingana na wengne wanamzidi afande kiumbo la mwili alafu unamvulia nguo anakukagua kwa mbele then anakwambia geuka nyuma unamgeuzia na makalio daah😂😂😂…….mm nashukuru sikwenda kwake niliangukia upande mwingne ambapo alikua mmama na afande wa kiume.
Aah! Ishu yote huwa inamalizikia chogo baa..Wanatoa tena zimamoto
Ronja iliyopo ni mwisho wa mwezi huu wat wanaapatupeni lonja la JWTZ
Amna aliyeapa jana kijana acha kudata...jana wamefunga zoezi la doria ya porini ila wanaapa mwezi huu wa 4 tarehe 29watu wameshahapa jana kaka
Hatariiiiiwatu wameshahapa jana kaka