nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 3,017
- 9,986
Wameondolewa kambini??Mbon washaaap jkt wot
Wameondolewa kambini??Mbon washaaap jkt wot
kwanini sasa awajatoa pdfHawajatoa pdf
kwanini sasa awajatoa pdf
Ata walioenda pia kupeleka kwa mkono mpaka huko makao makuu hakuna aliyeitwa mzeeHivi zikitumwa kwa posta zinafika kweli mana daah mwaka jana tulituma ila majibu hatukupata
Hahahah acha usitume kwani lazima kuwa mwanajeshi...🤣Ila daah hivi ingeandaliwa mfumo wa kutuma maombi si ingearahisisha mana tuko ulimwengu wa teknologia, gharama za usafiri wengine tuko mikoa ya mbali huko mfano kigoma ili kuepusha gharama wengi sisi ni watoto wa walala hoi mpaka kuipata nauli kasheshe yaani
Wamesema ni lazima kupeleka Kwa mkono?Ila daah hivi ingeandaliwa mfumo wa kutuma maombi si ingearahisisha mana tuko ulimwengu wa teknologia, gharama za usafiri wengine tuko mikoa ya mbali huko mfano kigoma ili kuepusha gharama wengi sisi ni watoto wa walala hoi mpaka kuipata nauli kasheshe yaani
Au sio sawaHahahah acha usitume kwani lazima kuwa mwanajeshi...🤣
Natania Man sema hizi inshu ni Bahati sana kupata yan.. kuna wakati unaweza kuwa unapoteza muda tu..Au sio sawa
usitukumbushe mkuu 😅😅Ata walioenda pia kupeleka kwa mkono mpaka huko makao makuu hakuna aliyeitwa mzee
Ata walioenda pia kupeleka kwa mkono mpaka huko makao makuu hakuna aliyeitwa mzee