Hahahahahh pole kwa kijana, mabio ni moja ya kukamilisha ratiba tu….kama huna connection utaishia kuona wenzakoo wakiitwa depo🤣🤣🤣
Mm mwaka jana kwenye mabio sikua mtu wa mwisho wala kweny watu50 wa mwanzo pia sikuepo lakin baada ya mchujo wa watu3000 nilikuemo kwenye wale 400 waliobaki, waliokua wakwanza kweny mabio weng tu walitemwa….hizi kazi za majeshi bila kua na mmbuyu walahi utaishia tu kuona wenzako wakiapa kama hao walioapa juzi apo kihangaiko.Hahahahahh pole kwa kijana, mabio ni moja ya kukamilisha ratiba tu….kama huna connection utaishia kuona wenzakoo wakiitwa depo🤣🤣🤣
NaamBroooh kupata ugari kwa wauza ugari ni changamoto
Kihangaiko tulisubili san bog la orjolo adi tangaz jipya limetokMm mwaka jana kwenye mabio sikua mtu wa mwisho wala kweny watu50 wa mwanzo pia sikuepo lakin baada ya mchujo wa watu3000 nilikuemo kwenye wale 400 waliobaki, waliokua wakwanza kweny mabio weng tu walitemwa….hizi kazi za majeshi bila kua na mmbuyu walahi utaishia tu kuona wenzako wakiapa kama hao walioapa juzi apo kihangaiko.
Pengine safar hii ndo kutakua na bog la oljoroKihangaiko tulisubili san bog la orjolo adi tangaz jipya limetok
Hata mim nimeon ivyo man nimeon wamebase san kwa wenye elim so ni officer watakua wengiPengine safar hii ndo kutakua na bog la oljoro
Form four watachukua wachache san yanii kam wakisem wachukue uraianiHata mim nimeon ivyo man nimeon wamebase san kwa wenye elim so ni officer watakua wengi
🤣🤣 Hiyo unit haitabiriki ikita(ga) Special (Potential Professionals) inaenda uraiani kabisa inawanyakua then refresher (Upper JKT) + Cadet Moja kwa Moja. Hizi Bla blah zingine ni Murua wa kiraia na politics zenu. Niamini.Hata mim nimeon ivyo man nimeon wamebase san kwa wenye elim so ni officer watakua wengi
Eti umeona daa vijana kumbe mnamaonoHata mim nimeon ivyo man nimeon wamebase san kwa wenye elim so ni officer watakua wengi
Ebu tupe maono mkuu bogi hili linaitaji sana watu gani maana wale wa mwaka jana wengi wao walikuwa 4m 4, Darasa la saba na 4m 6 kidogo. Tupe ronja ya bogi hili la sahv linahusisha watu gani?Eti umeona daa vijana kumbe mnamaono
Tanzania Nchi yangu🙌😥Mm sikatishi mtu tamaa ila nilivyoskia ni kwamba hili tangazo ni kama la mwaka jana na mwaka juzi tu (siasa), kwa wale wa uraiani tutaishia kuwaona tu watu wakiapa hapo kihangaiko kama walivyoapa juzi. Jeshi linachukua vijana
Na ndio ukweli huo hizi nafasi wanazotangazia watu ili wakubwa waingize vijana wao ambao hawaendi jktMm sikatishi mtu tamaa ila nilivyoskia ni kwamba hili tangazo ni kama la mwaka jana na mwaka juzi tu (siasa), kwa wale wa uraiani tutaishia kuwaona tu watu wakiapa hapo kihangaiko kama walivyoapa juzi. Jeshi linachukua vijana waliokua makambini.
Kama mwaka wa Jana tu 😀Jan nilitok mjengoni.. "sis tunakusanya tu ata kama umewabebea watu kumi"