Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Jan nilitok mjengoni.. "sis tunakusanya tu ata kama umewabebea watu kumi"
Nimetoka leo, nyomi la watu kama chuoni vile na wanapokea barua zote [emoji2] hii kweli imeenda, danganya toto
 
Nimetoka leo, nyomi la watu kama chuoni vile na wanapokea barua zote
emoji2.png
hii kweli imeenda, danganya toto
Vp hamna maelekezo yoyote au kipimo chochote, ni unaacha barua tu na kuondoka?
 
Unaeka barua kwenye boksi then ni mwendo wa fang'ufang'u
 
Kweli mtu unapanda bus nauli zaidi ya 60k kwenda kueka barua kwenye box duuu sasa si wangesema posta tu
Bora tu uchome nauli uku ukiwa na uhakika barua imefika ngome.. Kuliko posta sawa sawa umecheza kamali tu mana uwa muda mwingin hazifiki kabisa au zinafika muda wa kutuma maombi ushapita
 
Wangepima hata urefu na uzito wafariji watu aseee😂😂
Ivyo utapimwa ukiitwa usaili pale haujaenda usaili umeenda pelek maomb... Bora na wengin wamepajua makaoo makuu ya jwtz ya lipoo😂😂😂
 
Kigezo kinaweza kutolew sawa je watu watachukuliwa kweli. Mana hapa na kigezo kipo na wat walivyonao chamoto wanakiona
 
Back
Top Bottom