Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

KUNA WAKATII UKIKAAA NA KUFIKILIA VIZURI NDO UTAJUA KUWA MAISHA YANAITAJI HESHIMA KILA ENEO KWANI UKIVUNJA SHERIA WATU WANAKUVUNJA MIGUU...NB UKITAKA USIONEWE ISHI WANAVYOTAKA WAO AU TARATIBU ZINAVYOSEMA
We ng'ombe endelea kujipendekeza na umasikini wako Kwa viajira hivyo vya kimasikini kwenda kutesa masikini wenzio jitu jeusi akili halina
 
We ng'ombe endelea kujipendekeza na umasikini wako Kwa viajira hivyo vya kimasikini kwendsa kuesa masikini wenzio jitu jeusi akili halina
KWANZA TUANZE KWENYE ELIMU AFU NDO TUANZE KUBISHINA UKUTE UNABISHANA NA MTU HAELEWI CHOCHOTE KUHUSU MAISHA..
 
Ngoja niwape stori kidogo
Mwaka jana nilifanya application hizi za polisi kweli bhna mwez wa7 ule tareh22 pdf la usaili likatoka kua tareh29 usail unaanza bila kupoteza muda mm tareh27 nikaingia Dodoma kwa ajili ya usaili, dodoma tulikua weng kuliko mikoa mingne ikifuatiwa na Arusha….Dodoma tulipangwa watu elfu3 kwa ajili ya usaili, tareh29 ikafika asubuh na mapema watu wakamiminika pale hospital(ndo tulikofanyia usaili wote) nyuma kdgo na makao makuu ya jeshi la polisi tanzania….hahahh watu walikua weng sana yani ilikua jion tukimwagwa barabara zinafurika vijana mpka magari inabidi yasubir umati wa vijana uvuke barabara, siku ya kwanza tulifanya vipimo vya damu ambapo kila mtu ulikua unatoa elf10 kwa ajili ya vipimo ingawaje watu wote hawakupimwa kwa siku iyo ya kwanza haswa form4 boys maana wao walienda kwenye ratiba ya mabio(form4 walikua wanakaribia elf2 kwa idadi kama sijakosea) iyo ilikua j3……kimbembe kilianza siku ya alhamis usiku mida ya saa1 usiku tukasomewa majina kwa atakae sikia jina lake basi ndo ataendelea na usaili na kama hujaskia jina lako basi ndo imeishaa iyo hahahahhah iyo siku vijana walilaani sana maana yalisomwa majina watu waliotakiwa kubaki ni 400+ tu na mm nikiwepo, kwahyo watu zaid ya elf2 mia4 walikua wanarudi nyumbani…….katika hao watu400+ waliobaki kuendelea na usaili naweza 80% ni connection.
Ngoja nimalizie sasa
Basi bhana hao 400+ tuliobaki tukaendelea na zoezi la usaili lakin nilishangaa baada ya siku kama mbili tatu idadi imeongezeka kutoka 400+ mpka 500+ sasa siku moja tukiwa kweny zoezi la kuhakiki vyeti maana tulikua nnjee alafu tunaenda kwa mpangilio wa majina kuingia ofisini kwa ajili ya zoezi la kuhakii vyeti basi kwa waliokua ndani ofisini kwa wakati huo walimsikia afande muendesha zoezi la usaili akiongea na simu nanukuu “mkeka wakubwa washaubariki kwahiyo siwezi ongeza mtu” inasemekana apo afande alikua anaongea na mtu yan mtu anaomba apenyezewe jina la mwanae kwenye pdf la kwenda depo…..hahahhah watu baada ya kuskia kauli hiyo walichoka maana kumbe kwa wakati huo sisi tunaendelea na zoezi kumbe tayar majina ya wanaopita yanajulikana!! Watu tukawa tunajiuliza sasa je kweny hayo majina na mm nimo au simo….basi zoezi likaisha pia tukafanya na mtihani wa kuandika tukamaliza sasa ikawa ni kusubir hatua ya mwisho kwenda kwa mkuu wa mkoa, nakumbuka kwa kipindi kile kumpata mkuu wa mkoa ilikua changamoto maana dodoma ziara zilikua nying sana hivyo mkuu wa mkoa alikua busy sana, ziara moja wapo ni ile ya Rais samia kuja Dodoma kwa ufunguzi wa treni ya sgr so kutokana na mkuu wa mkoa kua busy basi ilituchuka kama week2 mpka kumaliza usaili, usaili tulimaliza j3 tareh12 kama sijakosea saa6 kasoro usiku ndo tunatoka pale kweny ofisi za mkuu wa mkoa yani nilikua hoi maana zoezi la usaili tulianza saa10 jion na hapo tulifoleni tangu saa12 asubuh pale hospital kwa ajili ya zoezi la kwenda kwa mkuu wa mkoa, lakin nakumbuka siku2 kabla hatujaenda kwa mkuu wa mkoa niliona baadhi ya sura mpyaa za vijana ambao hatukuanza nao usaili mwanzo na wao wamekuja kwa ajili ya kwenda kumalizia usaili kwa mkuu wa mkoa Haahaha hao ndo baba kantuma sasa….lakin pia nakumbuka siku moja kabla hatujaenda kwa mkuu wa mkoa kuna bint mmoja wa 4m4 ambae na yeye alikua katika usaili akanipigia simu usiku akaniambia kuna nafasi moja ya mtu wa form6 inauzwa na uyo mtu inatakiwa apatikane kabla kesho asubuh hatujaingia kwa mkuu wa mkoa(maana tuliambiwa tutaenda kuanza asubuh kwa mkuu wa mkoa) vipi unahitaji?? nikamjibu hapana maana mm sina hiyo pesa hali yangu ngumu(pesa alioyaniambia ilikua imechangamka kidogo)……mm ndomana nasema hizi kazi zina watu na kama unataka hizi kazi basi jitahidi uwe mmoja kati ya hao watu.
 
Nondo kaliiiiiiiiiiiii
 
Je kuna uwezekano wa kubadili kituo cha usaili mana nimeomba nifanye pengine nimetupwa pengine
 
Back
Top Bottom