Uzi hauwez kufa siku zote huu utaishi kila JW wanapokuja unaanza na Upya..Uzi umekufa
Una elimu gani mkuuHahahahh unanikumbusha mbali sana, mwaka jana nilikua nna moto kama wako nakumbuka kuna uzi mmoja niliuchangamsha sana humu jf maana nilikua nna kiu ya kwenda depo, kweli bhna hatua zote za michujo nikapita kweny usaili mpka hatua ya mwisho nikafika kwa mkuu wa mkoa Dodoma sasa ikawa ni kusubiri pdf la mwisho la kwenda depo, pdf linakuja kutoka simoo daah sitokaa nisahau aisee.
😀😀😀Mfumo WA polisi hautakiii wazeeee
Mbona kwangu umetulia, hebu jaribu kuhangaika nako kwa vifaa tofauti tofauti.Mfumo WA polisi hautakiii wazeeee
Form6Una elimu gani mkuu
2018 form four wnakataliwaMbona kwangu umetulia, hebu jaribu kuhangaika nako kwa vifaa tofauti tofauti.
Natamani nikwambie kitu mkuu ila daah bas tu….kwakifupi ndugu hizi ajira zina wenyewe na watu sasa jaribu na ww uwe mmoja kati ya hao watu.2018 form four wnakataliwa
Msaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayoForm6
Hilo jina no.2 Affidavit ni lazimaaa watamzinguaaaMsaidieni huyu kijana, anauliza mtu mwenye majina yafuatayo
1. Kasukali Mtani Jembe
Na
2. Kasukali M Jembe
Ana haja ya kuwa na affidavit ili kuonesha ni mtu mmoja?
Njoo in boxForm6
Ndio vigezo si wanataka form 4 na 6 kuanzia 2019 kuja juu2018 form four wnakataliwa
Acha polojo za kukosa akili, wewe kama huombi acha watu wapambanie ugali wao... na sio kila polisi ni mtesaji wa watuNyie wajinga mnaomba ajira Ili muendelee kutesa masikini wenzenu kama wenzenu wanavyofanya mijitu mieusi akili Haina aisee
We Kweli mjinga yaani uombe ajira kwa watu halafu usifuate wanayotaka unaakili kweli weweAcha polojo za kukosa akili, wewe kama huombi acha watu wapambanie ugali wao... na sio kila polisi ni mtesaji wa watu
Duuh mbona hatari hii..Ngoja niwape stori kidogo
Mwaka jana nilifanya application hizi za polisi kweli bhna mwez wa7 ule tareh22 pdf la usaili likatoka kua tareh29 usail unaanza bila kupoteza muda mm tareh27 nikaingia Dodoma kwa ajili ya usaili, dodoma tulikua weng kuliko mikoa mingne ikifuatiwa na Arusha….Dodoma tulipangwa watu elfu3 kwa ajili ya usaili, tareh29 ikafika asubuh na mapema watu wakamiminika pale hospital(ndo tulikofanyia usaili wote) nyuma kdgo na makao makuu ya jeshi la polisi tanzania….hahahh watu walikua weng sana yani ilikua jion tukimwagwa barabara zinafurika vijana mpka magari inabidi yasubir umati wa vijana uvuke barabara, siku ya kwanza tulifanya vipimo vya damu ambapo kila mtu ulikua unatoa elf10 kwa ajili ya vipimo ingawaje watu wote hawakupimwa kwa siku iyo ya kwanza haswa form4 boys maana wao walienda kwenye ratiba ya mabio(form4 walikua wanakaribia elf2 kwa idadi kama sijakosea) iyo ilikua j3……kimbembe kilianza siku ya alhamis usiku mida ya saa1 usiku tukasomewa majina kwa atakae sikia jina lake basi ndo ataendelea na usaili na kama hujaskia jina lako basi ndo imeishaa iyo hahahahhah iyo siku vijana walilaani sana maana yalisomwa majina watu waliotakiwa kubaki ni 400+ tu na mm nikiwepo, kwahyo watu zaid ya elf2 mia4 walikua wanarudi nyumbani…….katika hao watu400+ waliobaki kuendelea na usaili naweza 80% ni connection.
KUNA WAKATII UKIKAAA NA KUFIKILIA VIZURI NDO UTAJUA KUWA MAISHA YANAITAJI HESHIMA KILA ENEO KWANI UKIVUNJA SHERIA WATU WANAKUVUNJA MIGUU...NB UKITAKA USIONEWE ISHI WANAVYOTAKA WAO AU TARATIBU ZINAVYOSEMAWe Kweli mjinga yaani uombe ajira kwa watu halafu usifuate wanayotaka unaakili kweli wewe