Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mmmh nikikumbuka ule msoto niliopitia mwaka jana na mda niliopoteza pamoja na gharama wala sina hamu na hawa jamaa…..hizi ajira kama huna mtu nyuma yako wa kukushika mkono walahi utaishia kuona tu wenzako wakiitwa depo📌
Polisiiiiiiiiii tayar wapambanaji
 
Kazi Kazi Tuondoke
Hahahahh unanikumbusha mbali sana, mwaka jana nilikua nna moto kama wako nakumbuka kuna uzi mmoja niliuchangamsha sana humu jf maana nilikua nna kiu ya kwenda depo, kweli bhna hatua zote za michujo nikapita kweny usaili mpka hatua ya mwisho nikafika kwa mkuu wa mkoa Dodoma sasa ikawa ni kusubiri pdf la mwisho la kwenda depo, pdf linakuja kutoka simoo daah sitokaa nisahau aisee.
 
Sema kikubwa ni kupambania nafasi tu ila kiukwelii kutoboa nichangamoto watu wanakua weng San kutokana hakun kigez Cha jkt
 
Mmmh nikikumbuka ule msoto niliopitia mwaka jana na mda niliopoteza pamoja na gharama wala sina hamu na hawa jamaa…..hizi ajira kama huna mtu nyuma yako wa kukushika mkono walahi utaishia kuona tu wenzako wakiitwa depo📌
Sema Kuna hii ya jw KARIBUNI nasikia...
 
Hahahahh unanikumbusha mbali sana, mwaka jana nilikua nna moto kama wako nakumbuka kuna uzi mmoja niliuchangamsha sana humu jf maana nilikua nna kiu ya kwenda depo, kweli bhna hatua zote za michujo nikapita kweny usaili mpka hatua ya mwisho nikafika kwa mkuu wa mkoa Dodoma sasa ikawa ni kusubiri pdf la mwisho la kwenda depo, pdf linakuja kutoka simoo daah sitokaa nisahau aisee.
Kwenye Aya majeshi kupita kirahisi ni changamoto
 
Hahahahh unanikumbusha mbali sana, mwaka jana nilikua nna moto kama wako nakumbuka kuna uzi mmoja niliuchangamsha sana humu jf maana nilikua nna kiu ya kwenda depo, kweli bhna hatua zote za michujo nikapita kweny usaili mpka hatua ya mwisho nikafika kwa mkuu wa mkoa Dodoma sasa ikawa ni kusubiri pdf la mwisho la kwenda depo, pdf linakuja kutoka simoo daah sitokaa nisahau aisee.
Sasa Ni Muda Wetu
 
Sasa Ni Muda Wetu
Sawa kijana, ila kwa utaratubu wa polisi na hata nilivyoliangalia tangazo ni kama lilelile la mwaka jana tu….sasa chakufanya kwenye kufanya maombi chagua mkoa uliokua karibu yako uende ukafanyie usaili usichague mkoa wa mbali na ww ili kuepuka gharama na kupoteza pesa…alafu andaa elfu10 ya vipimo na elf1 ya barakoa, najua usaili utaitwa maana wao hawana nongwa kweny kuita watu kweny usaili kimbembe hua kinakuja baada wakishakusanya pesa zao za vipimo, jiandae kwa vipimo vya urefu(kimo) na damu na mtihani wa kuandika, pia jiandae kwa mabio wanaume round7 wanawake round5 kuzunguka uwanja wa mpira.
 
Sasa Ni Muda Wetu
Lakini pia kama una mbanga basi hakikisha mbanga wako cheo chake ni kuanzia cheo cha kamishna(msaidizi) ikiwa hivo basi ww kwenda depo ni uhakika, ila kama mbanga wako cheo chake kikiwa chini ya hapo basi usijipe matumaini sana maana mda wowote mambo yanaweza badilika
 
Back
Top Bottom