Maneno machache yenye kutia moyo na kuinua tumaini jipya. Ngoja tuone mkuuDon’t count yourself out before the game starts.
Apply for that job, even if you doubt you’re enough; let them say no, not you.
While others shrink back, scared of rejection, you step up bold. Never shut your own door.
Go for it, fight for your shot, and prove you’re bigger than your doubts.
Acha kumdanganya,Mwambie akupe kibali kinachoonyesha kuwa wewe umetoka makao makuu na umeambiwa uende chuoni direct mbali na hapo utatupa nauli yako tu.
Yuko sahihi kote,kasoro kwenye idadi ya unfit
Vipimo ni upyawakifika msata wataanza kozi au watapima tena
Sio kweliHapo makutu wamepima kama msata ila majibu ya vipimo bado na pia wa makutu watapelekwa msata na nadhani majibu ya vipimo yatarudi kwa pamoja(makutu + msata) na walio na shida ndo watasomwa UNFIT. Then wanaobaki ndo watapiga kozi.
Tupeni... Izo ronja ZA ukweliSio kweli
Leta zako zenye ukweliSio kweli
Ajibiwe huyu kijana kauliza swali zuri sanaNa je watu wa vimemo huwa Wana report pamoja na hao wa kwenye pdf au huwa wanaenda kwa wakati wao tofauti na tarehe tajwa kwenye wito wa kwenda mafunzo?
Wabongo ambavyo huwa wanazikandia ajira za upolisi na ualimu, unaweza kusema hakuna tena wananchi wanaotaka kufanya hizo kazi.Issue ya vimemo police ipo au ndo imetoka hiyo, mwenye lonja kamili aweke hapo
Bado sijaenda kijanaWakuu, ndo mshaingia Msata kimya kimya nini,?
Wabongo Unafiki na keyboards warriors wengi sanaWabongo ambavyo huwa wanazikandia ajira za upolisi na ualimu, unaweza kusema hakuna tena wananchi wanaotaka kufanya hizo kazi.
Kimya sana, toeni code kinachoendelea msataWabongo Unafiki na keyboards warriors wengi sana
LOADING TANGAZO jipya la ajira TPDF 2029. NOTE Habari kwa sasa imekwishaaa. Tufanye Mambo mengineKimya sana, toeni code kinachoendelea msata
Miak 4....ni mingi san...LOADING TANGAZO jipya la ajira TPDF 2029. NOTE Habari kwa sasa imekwishaaa. Tufanye Mambo mengine
Wameenda Msata!?LOADING TANGAZO jipya la ajira TPDF 2029. NOTE Habari kwa sasa imekwishaaa. Tufanye Mambo mengine