Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

hivi hizi kozi za RTS nao wanapataga likizo kama wale wa TMA au wao ni jaramba mwanzo mwisho?
Na kozi ya level 3 inachukuaga mda gani?
Level 3 ni miezi mitatu unapiga kwenye kikos ulichopangiwa baada ya kutoka RTS. Koz ya RTS ikiisha unaenda kuripot kwenye kikos ulichopangiwa huko ukifika ndo utapewa likizo kidogo kama sjakosea ni wiki2 baada ya hapo ndo unarud kikosin kupiga level3. Unaanza na six weeks🤣🤣
 
Na RTS kozi ni miezi mingapi mkuu?
 
Level 3 ni miezi mitatu unapiga kwenye kikos ulichopangiwa baada ya kutoka RTS. Koz ya RTS ikiisha unaenda kuripot kwenye kikos ulichopangiwa huko ukifika ndo utapewa likizo kidogo kama sjakosea ni wiki2 baada ya hapo ndo unarud kikosin kupiga level3. Unaanza na six weeks🤣🤣
Duh Level 3 ndo ikoje mkuu? Me nikajua ni kozi ya RTS tu
 
Ukishatoka RTS kwenye zile uniform utakazo pewa hutokuta zile suti Wala ballet kwahyo nnachojua mim level3 ndo koz ya kuitafta ballet. Yani ili uwe classified kwamba we ni wa kamandi au kikos gani. Mfano kikos Cha mizinga wao yao nyeusi , anga wao yao blue bahar , navy yao nyeupe , CDO ngerengere yao damu ya mzee , kamandi ya nchi kavu yao ya kijani, jkt ndo ile sjui rangi ya ugoro.
Nadhani hyo ndo maana ya level 3 kama ntakua nmekosea wakuu mtanirekebisha
 
Inakua na six weeks pia lkn mnapiga na Kombat za bakabaka pia ina u RTS ndani yake. Ndo maana kombati ilopigiwa level3 unakuta imepauka kinoma. Lkn piah naskia wapo wanaopigia darasani baadhi ya vikosi ingawa sina uhakika labda tusubir wakuu wanirekebishe nlipokosea🥴🥴
 
Ukishatoka RTS kwenye zile uniform utakazo pewa hutokuta zile suti Wala ballet kwahyo nnachojua mim level3 ndo koz ya kuitafta ballet. Yani ili uwe classified kwamba we ni wa kamandi au kikos gani. Mfano kikos Cha mizinga wao yao nyeusi , anga wao yao blue bahar , navy yao nyeupe , CDO ngerengere yao damu ya mzee , kamandi ya nchi kavu yao ya kijani, jkt ndo ile sjui rangi ya ugoro.
Nadhani hyo ndo maana ya level 3 kama ntakua nmekosea wakuu mtanirekebisha
Hiyo BALLET kuitafuta ndo kimbembe…

Ukimwona mtu ana baleti (wenyewe wanaita kumwaga maji), muheshimu sana 😂
 
Uhakika hasa hiyo ballet ya damu ya mzee wazee wa tisa mbili ni kisanga Kama kikosi kinavyoitwa sangasanga....
Koz yake n mwaka na miez kam sita huo mkesha wake sasa wiki nane
 
Usikalili mtonyo tu huwezi jua waliopo huko juu kitengo ana uhusiano gani nao na hii ndio first line hiyo ya mtonyo huwa ni second line[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye mtonyo connection inakua automatically, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najua RTS vizuri sana Vipimo vinavyopimwa ni Vingi nianze kumuandikia List kwelii..
=>B.P
=>Hepatitis B&C
=>SYPHILIS.
=>HIV/AIDS
=>EYE/EAR
=>MUSCLES AND BONE ARRANGEMENT.
=>Weight.
=>FEET PRINT.
=>ANUS MUSCLES.
=>TEETH ARRANGEMENT.
=>Malaria.
=>VEIN DISTRIBUTARIES..

VINGINE: NIFUATE Pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kupimana marinda ni udhalilishaji jamani, je mpimaji akatamani kitoboo?? Woiiiiiih
 
Back
Top Bottom