Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Najua RTS vizuri sana Vipimo vinavyopimwa ni Vingi nianze kumuandikia List kwelii..
=>B.P
=>Hepatitis B&C
=>SYPHILIS.
=>HIV/AIDS
=>EYE/EAR
=>MUSCLES AND BONE ARRANGEMENT.
=>Weight.
=>FEET PRINT.
=>ANUS MUSCLES.
=>TEETH ARRANGEMENT.
=>Malaria.
=>VEIN DISTRIBUTARIES..

VINGINE: NIFUATE Pm
Dah sio poa na bado naskia kuna kizingiti cha NIDA za wazazi.
 
Jina langu la cheti Cha kuzaliwa linafanana kabisa na la vyeti vya shule. Lkn imebid Mzee wangu anichukulie affidavits ili kuapa kwamba JOHNNY SINS na JOHNSON JUMA MNAZI ni mtu mmoja yani yote ni majina yake vp hapo Kuna haja ya kwenda na hyo affidavits au ntakua nimejila. Na je vp nichukue affidavits kwaajili ya NIDA sababu wameongeza herufi "i" mwishoni mwa jina langu ambayo haitakiwi kuepo mfano vyeti vyangu vyote vimeandikwa ABDUL lkn wao NIDA wameandika ABDULI. Ebu nipe muongozo hapo mkuu🥴🥴
Kwa TPDF sijui, so ni vyema ukawa nayo kama akiba…

Uzuri Affidavit si mzigo, karatasi moja tu 😀
 
Cha kuzaliwa, cha msingi, leaving ya form four, cheti cha form four (kama unacho), cha form six, transcript na cheti cha chuo (kama unavyo)

NB MUHIMU: hakikisha, hukosi cheti cha KUZALIWA, LA SABA na LEAVING CERTIFICATE ya FORM FOUR…

Na vyote hivi, majina yafanane..Kama vimetofautiana, karekebishe mapema kabla mkeka haujatema (Usiseme hujaambiwa) 😀
Nakazia Tena Cheri Cha la Saba muhimu sana kwa form for,six
 
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.

NB: Depo ya kihangaiko ya mvua ni balaa wazee. Jiandaeni kisaikolojia. Sijawahi kupiga hiyo, ila atleast kwa mazingira flani nimewahi kuona.
Siku wakiyatoa
 
Back
Top Bottom