Black Codes Cracker
Senior Member
- May 7, 2022
- 188
- 238
- Thread starter
- #401
Mkuu, leaving haiandiwi grade za masomo…Anhaaa usiogope mkuu zile ni grade za ufaulu tu kwa somo husika
A- EXCELLENT
B- Very GOOD
C- GOOD
D- SATISFACTORY
F- FAIL
Linaandikwa jina lako kamili, jina la shule, mwaka ulioanza hapo, kidato ulichomalizia, namba ya kuandikishwa, mwaka uliomaliza shule, n.k
Mwishoni, ndo kunaandikwa REMARKS, hizo ni CONDUCT yako kwa ujumla 😀