Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Anhaaa usiogope mkuu zile ni grade za ufaulu tu kwa somo husika
A- EXCELLENT
B- Very GOOD
C- GOOD
D- SATISFACTORY
F- FAIL
Mkuu, leaving haiandiwi grade za masomo…

Linaandikwa jina lako kamili, jina la shule, mwaka ulioanza hapo, kidato ulichomalizia, namba ya kuandikishwa, mwaka uliomaliza shule, n.k

Mwishoni, ndo kunaandikwa REMARKS, hizo ni CONDUCT yako kwa ujumla 😀
 
Anhaaa usiogope mkuu zile ni grade za ufaulu tu kwa somo husika
A- EXCELLENT
B- Very GOOD
C- GOOD
D- SATISFACTORY
F- FAIL
D14E6B3E-E3CD-486B-8EF7-C34D647F49C3.jpeg
 
Kwani jakata inauhusiano gani na JW mkuu..??

Kozi za majeshi zinajitegemea, ndio maana JW kuna kipindi wanaenda kuchukua madokta vyuoni, ambao hawaijui jakata, mwisho wa siku wanakula bakabaka…[emoji16]
Bora umuambie huyooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu, leaving haiandiwi grade za masomo…

Linaandikwa jina lako kamili, jina la shule, mwaka ulioanza hapo, kidato ulichomalizia, namba ya kuandikishwa, mwaka uliomaliza shule, n.k

Mwishoni, ndo kunaandikwa REMARKS, hizo ni CONDUCT yako kwa ujumla 😀
Naona unaunda contradict sasa soma vizuri nilichokiandika utaelewa...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpee poleee yake.
Mbn unapingana na hoja zako 😂😂😂 yupo Jax kwahiyo ampe pole wakati huo huo unaamin mtu anatoka uraiani anatimba RTS....we unajuaje kama dogo ana backup nzito nyuma....haya mambo ni Fumbo usishangae umepiganisha na mpunga umepunwa alafu janki mmoja katoka kitaa kukimbiza tu harakat ndogo ndogo ila akatokea mtu akampambania akala kitenge bila kutozwa chochote.....KUNA MAMBO HAYA HITAJI UJUAJI MWINGI
 
Mbn unapingana na hoja zako [emoji23][emoji23][emoji23] yupo Jax kwahiyo ampe pole wakati huo huo unaamin mtu anatoka uraiani anatimba RTS....we unajuaje kama dogo ana backup nzito nyuma....haya mambo ni Fumbo usishangae umepiganisha na mpunga umepunwa alafu janki mmoja katoka kitaa kukimbiza tu harakat ndogo ndogo ila akatokea mtu akampambania akala kitenge bila kutozwa chochote.....KUNA MAMBO HAYA HITAJI UJUAJI MWINGI
Km ana mtonyoo hapo sawaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km apeche aloloo, atasugua sanaa buti.
 
Km ana mtonyoo hapo sawaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km apeche aloloo, atasugua sanaa buti.
Usikalili mtonyo tu huwezi jua waliopo huko juu kitengo ana uhusiano gani nao na hii ndio first line hiyo ya mtonyo huwa ni second line😂😂😂
 
Km ana mtonyoo hapo sawaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km apeche aloloo, atasugua sanaa buti.
Waache…

Kuna jamaa yangu alikaa miaka mitatu, akarudi nyumbani.

Akapambana, akarudi kupewa mwaka mmoja..

Umeisha, now yupo home anamtukana kila mwenye bakabaka 😀
 
Naona unaunda contradict sasa soma vizuri nilichokiandika utaelewa...
Nimekuelewa vizuri mkuu,

Mimi nilisema wanatoa remarks za tabia, wewe ukanambia hawaandiki tabia…

Nikakupa wanavyoandika, ukanambia hizo zinaandikwa kwa somo husika…

Nikakwambia kuwa LEAVING haiandikwi Grade za masomo..

Hiyo maana yake, zile remark ni ASSESMENT OF CONDUCT/BEHAVIOUR shuleni…

Hamna hata contradiction hapo, labda wewe tu hukunielewa
 
wakuu ivi mfano jina kwenye vyeti vyote ni
SYLVESTER J SYLVESTER ZUNGU
,ila kwenye nida
SYLVESTER JOHN NZUNGU, hii vipi c nitarudishwa huko kwenye usaili?
NIDA jau sana mi mwenyewe langu mwishoni wameongeza herufi "i" na wakati haipo kwenye vyeti vengine. Mfano vyeti vmeandikwa DAN lkn mifanyakaz ya nida imeniandika DANI ata sjui waliambiwa na nani waongezee herufi mbele kutiana nuksi tu🥴🥴
 
du mkuu basi naona nishakosa kwend jw😟, mtaani nako hakueleweki, kusubir mpk 2026, duuh na umri nao.
 
NIDA jau sana mi mwenyewe langu mwishoni wameongeza herufi "i" na wakati haipo kwenye vyeti vengine. Mfano vyeti vmeandikwa DAN lkn mifanyakaz ya nida imeniandika DANI ata sjui waliambiwa na nani waongezee herufi mbele kutiana nuksi tu🥴🥴
hawa jmaa nida ni wajinga sanaa , sijui kwanini wanapesa kosea alafu inakuja kutukost sisi.
 
Back
Top Bottom