Black Elon
Member
- Nov 2, 2023
- 93
- 116
Uhakiki wa vikosini umeisha jana hata majina bado hayajachambuliwa kwa wa vikosini lakini wa mtaani wanasema majina yashajaa. Mi siamini kama watu wa mtaani watapenyezwa kabla ya wa vikosini kuandikishwa kwanza.😂😂😂so kweli wadau bado nafasi ipo kuweni wapole kabisa presha haihitajiki pambana Mdogo mdogo kwa uncle,aunt, kote kote hakikisha unapata ila kama unavigezo!