Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Na ni wengi wataishia kukitamani tu kama hawana mbanga..Watu wanatamani sana kile kitenge 🙏🏽
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ni wengi wataishia kukitamani tu kama hawana mbanga..Watu wanatamani sana kile kitenge 🙏🏽
Mkuu kwahyo mbanga wako amekupa update gani kuhusu simu kuita na meseji kuingia ni lini.Na ni wengi wataishia kukitamani tu kama hawana mbanga..
😂😂afande mwezi 6 na 7 apo watu wanaendaMkuu kwahyo mbanga wako amekupa update gani kuhusu simu kuita na meseji kuingia ni lini.
Kwahyo ni katkat ya mwez wa 6 na wa 7. unanikumbusha Jin's tulvokua tunapigwa kalenda mwakajana baada ya ile koz kuanza mwezi wa 5 tukaambiwa katkat ya mwezi wa 6 na wa 7 mtaitwa oljoro🤣🤣🤣😂😂afande mwezi 6 na 7 apo watu wanaenda
Haya mambo haya hayajulikani ikweli ni upi.Kwahyo ni katkat ya mwez wa 6 na wa 7. unanikumbusha Jin's tulvokua tunapigwa kalenda mwakajana baada ya ile koz kuanza mwezi wa 5 tukaambiwa katkat ya mwezi wa 6 na wa 7 mtaitwa oljoro🤣🤣🤣
Sio pw mzee tunaojua ngj tutulie tuHaya mambo haya hayajulikani ikweli ni upi.
Jambo gani mkuuKesho jioni nitakuwa na jambo langu na jamaa wa Ikuru
We unaonaje mkuu?Kwahyo mwakan mwezi kama huu utakua unapiga level 3 ausio mkuu[emoji3061][emoji3061]
Take note:6mwishon au 7 mpak mwishon usipokuwa kule tayar imepita iyoooo...Kwahyo ni katkat ya mwez wa 6 na wa 7. unanikumbusha Jin's tulvokua tunapigwa kalenda mwakajana baada ya ile koz kuanza mwezi wa 5 tukaambiwa katkat ya mwezi wa 6 na wa 7 mtaitwa oljoro🤣🤣🤣
Hapa ndo umesema sasa 😅..Take note:6mwishon au 7 mpak mwishon usipokuwa kule tayar imepita iyoooo...
Kupiganisha saiv akat mda ushaisha labda upate bonge la m buyu asee.🤣🤣 Lasivyo usubir mpk 2026Hapa ndo umesema sasa 😅..
Watu wapiganishe sana kipindi hiki, kama kuna mtu anakiwanja chake, akiuze chap akapiganishe.
Atakipata baadae 😀
Tukutane kombania kakaa🔥🔥Take note:6mwishon au 7 mpak mwishon usipokuwa kule tayar imepita iyoooo...
sasa habari za uhakika ni zipi mana wengine mnasema mda ushaisha wengine wanasema usaili bado haujaisha so ukweli ni upi?Kupiganisha saiv akat mda ushaisha labda upate bonge la m buyu asee.🤣🤣 Lasivyo usubir mpk 2026
Ukiwa humu ya kuchukua utachukua na ya kuacha acha Tu.sasa habari za uhakika ni zipi mana wengine mnasema mda ushaisha wengine wanasema usaili bado haujaisha so ukweli ni upi?
Muda wa kupiganisha KI-KAWAIDA ndo umeisha. Kama jina lako halipo kwenye PDF, basi tafuta mbuyu mkuuuubwa aanze kushindana ukubwa na wenzake waliotangulia. Na wakati huo, nawe uwe na hela ya kutosha 😅sasa habari za uhakika ni zipi mana wengine mnasema mda ushaisha wengine wanasema usaili bado haujaisha so ukweli ni upi?
Yaah huyu mwamba kanielewa🤣🤣Muda wa kupiganisha KI-KAWAIDA ndo umeisha. Kama jina lako halipo kwenye PDF, basi tafuta mbuyu mkuuuubwa aanze kushindana ukubwa na wenzake waliotangulia. Na wakati huo, nawe uwe na hela ya kutosha
Watu watapigwa na kitu kizito soon. Haya mambo hutakiwi kuwa overconfident.Haya mambo haya😂😂🙌
😂😂😂so kweli wadau bado nafasi ipo kuweni wapole kabisa presha haihitajiki pambana Mdogo mdogo kwa uncle,aunt, kote kote hakikisha unapata ila kama unavigezo!Muda wa kupiganisha KI-KAWAIDA ndo umeisha. Kama jina lako halipo kwenye PDF, basi tafuta mbuyu mkuuuubwa aanze kushindana ukubwa na wenzake waliotangulia. Na wakati huo, nawe uwe na hela ya kutosha 😅