Sahivi wanafanya uhakiki kwa wale waliopo makambini ila sasa kimtaani mtaani ukiwaambia uhakiki hawawezi kukuelewa so ukitumia neno usaili ndio utaeleweka vzr.So kwasasa wapo kwenye uhakiki wa details zao maana usaili walishafanya kipindi wanaingia jkt uhakiki ukiisha zitaanza kusomwa message kwa wale watakaokuwa wamechaguliwa kwenda RTS.
So wakifika kule RTS sasa ndio watafanya usaili wa vyeti na vipimo upya,inasemekana kuwa mwez wa 6 mwishoni mpka mwez wa Saba hapo katikati ndio wataanza kwenda kuripoti RTS.