Zafrain sag
JF-Expert Member
- Sep 14, 2019
- 238
- 354
Oyaaaaa mzigo umeshatangazwa tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzigo gani Tena huo kaka mkubwaOyaaaaa mzigo umeshatangazwa tayari
Daaah mzee acha kudanganya bhn mbona chenga😂😂Nenda youtube utaipata full video sema masharti magumu,masters uwe na miaka 27.View attachment 2993492
Hahaha jamaa acha upuuzi umechemsha akili za watuHahahahahah!!!! Hilo tangazo la mwaka jana kijna ila kaeni kwa kutulia kijana
June---july mambo yatajipaHahaha jamaa acha upuuzi umechemsha akili za watu
Vp wa military science waliopo rts wanauwa lin?Mkuu nimeongea na chalii yuko kambini JKT anasema za chinichini ni mwezi wa 7 JWTZ
Mzee hao military science wanauwa lin?millitary science wanapiga kivyao wale,kwan jw watu si walishatumaga maombi hado kuitwa tuu
Aisee sijajua mkuuVp wa military science waliopo rts wanauwa lin?
Mzee military science waliopo rts wanamaliza lin?Oyaaaaa mzigo umeshatangazwa tayari
Wale ni June au July mwanzoniMzee military science waliopo rts wanamaliza lin?
Sawa mkuu...ila kwa nyepesi zilizopo June mambo yanajipaWale ni June au July mwanzoni
June--July apo lazima kilipuke hilo ni uhakika...Sawa mkuu...ila kwa nyepesi zilizopo June mambo yanajipa
Jambo gani tena hilo mkuuTareh 27-5- kuna jambo limeanza na soon Bogi litamwagika
Uhakika mazee...M.S wapo chaka now wakitoka hapo n kula K!@¶0 af wanasebenza...Kinanuka new Intk.Tareh 27-5- kuna jambo limeanza na soon Bogi litamwagika