Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mkuu nimeongea na chalii yuko kambini JKT anasema za chinichini ni mwezi wa 7 JWTZ
wazee wa aziwea ndo hawa…alafu unawezakuta wanafanya hivyo mabonye tu, kuja kushtuka bogi lipo Kihangaiko linaapa..

Halafu hilo la mwezi wa saba, likawa la oljoro 😀
 
Mwezi may ndo umeingia usiku huu hakikisha ume subscribe ayo tv YouTube channel ilimradi usipitwe na tangazo. Mi naamin huu ndo mwezi tulokua tunausubiria tangia tulivokosa bogi la mwaka Jana. Inshallah ni zamu yetu sasaa🤗🤗
 
Hahah huu ni Mtego
 
Zamu Yenu sasa...
 
Ushauri

Usiache mipango yako ukisubiria kwenda jeshini, jeshi halitabiriki ukipata nafasi nenda lakini usiache mishemishe na mipango yako

Mwenye akili nadhani amenielewa ambaye anechagua kutonielewa sina cha kumsaidia.
 
Point kubwa hii watu tusome hapa na kuelewa... usipokuja bila Guard Tagawa wastani kwa Idadiii...
 
Zmemwagwa tyr za CCP
 
Attachments

  • Screenshot_20240510-142726_Chrome.jpg
    Screenshot_20240510-142726_Chrome.jpg
    319.9 KB · Views: 21
  • Screenshot_20240510-142735_Chrome.jpg
    Screenshot_20240510-142735_Chrome.jpg
    169.3 KB · Views: 15
Msibweteke kuzisiburia baada ya kuapply unashangaa zinaweza zikatoka mwakani.
 
Wakuu ni kweli JWTZ wametoa ajira? yeyote mwenye za chinichini?
 
Back
Top Bottom