Black Codes Cracker
Senior Member
- May 7, 2022
- 188
- 238
- Thread starter
- #241
Wakuu, yani hata lonja hakuna…!? Mwezi wa nne mbona unaenda kukatika 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimeongea na chalii yuko kambini JKT anasema za chinichini ni mwezi wa 7 JWTZWakuu, yani hata lonja hakuna…!? Mwezi wa nne mbona unaenda kukatika [emoji3]
Duuh, tunaweza kushangaa ikapigwa aziwea ya hatari…😀Mkuu nimeongea na chalii yuko kambini JKT anasema za chinichini ni mwezi wa 7 JWTZ
Ndo hivo kaka tusubiriDuuh, tunaweza kushangaa ikapigwa aziwea ya hatari…[emoji3]
wazee wa aziwea ndo hawa…alafu unawezakuta wanafanya hivyo mabonye tu, kuja kushtuka bogi lipo Kihangaiko linaapa..Mkuu nimeongea na chalii yuko kambini JKT anasema za chinichini ni mwezi wa 7 JWTZ
Kama kuna harufu ya ukweli hapa 🙁Mkuu nimeongea na chalii yuko kambini JKT anasema za chinichini ni mwezi wa 7 JWTZ
Kama kuna harufu ya ukweli
Yani lonja zmetembeaaaa mpk zmechoka sasa nazo zmepotea😬😬Kama kuna harufu ya ukweli hapa 🙁
Hahaha.. hatari mkuu hamna dalili kabisaaYani lonja zmetembeaaaa mpk zmechoka sasa nazo zmepotea😬😬
Aziwea nyingi babaaaa 😀Yani lonja zmetembeaaaa mpk zmechoka sasa nazo zmepotea😬😬
Mwezi may ndo umeingia usiku huu hakikisha ume subscribe ayo tv YouTube channel ilimradi usipitwe na tangazo. Mi naamin huu ndo mwezi tulokua tunausubiria tangia tulivokosa bogi la mwaka Jana. Inshallah ni zamu yetu sasaa🤗🤗
Hahah huu ni MtegoMwezi may ndo umeingia usiku huu hakikisha ume subscribe ayo tv YouTube channel ilimradi usipitwe na tangazo. Mi naamin huu ndo mwezi tulokua tunausubiria tangia tulivokosa bogi la mwaka Jana. Inshallah ni zamu yetu sasaa🤗🤗
Zamu Yenu sasa...Mwezi may ndo umeingia usiku huu hakikisha ume subscribe ayo tv YouTube channel ilimradi usipitwe na tangazo. Mi naamin huu ndo mwezi tulokua tunausubiria tangia tulivokosa bogi la mwaka Jana. Inshallah ni zamu yetu sasaa🤗🤗
Point kubwa hii watu tusome hapa na kuelewa... usipokuja bila Guard Tagawa wastani kwa Idadiii...Ushauri
Usiache mipango yako ukisubiria kwenda jeshini, jeshi halitabiriki ukipata nafasi nenda lakini usiache mishemishe na mipango yako
Mwenye akili nadhani amenielewa ambaye anechagua kutonielewa sina cha kumsaidia.
Halafu hakuna kigezo cha JAKATA wala nini…Hadi RAIA wanajimwaga tu 🙌🏾🙌🏾Zmemwagwa tyr za CCP
Mimi nimemwambia mdogo wangu Asi Apply hizo za Polisi asubirie za Bakabaka.. na kama zisipokuja nitakuwa namlipa laki 9 kwa mwezi bila kufanya kazi mpaka apate za Jw...Msibweteke kuzisiburia baada ya kuapply unashangaa zinaweza zikatoka mwakani.