Swardolf102
JF-Expert Member
- Apr 6, 2024
- 295
- 320
Yah maana mwakajana walihitimu kuruti buku3 na ushee bogi mojaKwakukazia hapo kwenye 5K ongeza 1K ndio nilichoskia bro watakao timba hapo kati sijui Kama n ya kwel....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah maana mwakajana walihitimu kuruti buku3 na ushee bogi mojaKwakukazia hapo kwenye 5K ongeza 1K ndio nilichoskia bro watakao timba hapo kati sijui Kama n ya kwel....
Uliza wanaopigia level3 dodoma kmmke sio pw ule upepo c tulopiga jkt dodoma tunaelewa🤣🤣Hiyo BALLET kuitafuta ndo kimbembe…
Ukimwona mtu ana baleti (wenyewe wanaita kumwaga maji), muheshimu sana 😂
Em sema neno, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3061][emoji3061]
[emoji51][emoji51][emoji51]
Ndo mshkaji hapo alkua anasema haijui level 3 kwamba ukishamaliza RTS unakula 5🤣🤣Hiyo BALLET kuitafuta ndo kimbembe…
Ukimwona mtu ana baleti (wenyewe wanaita kumwaga maji), muheshimu sana 😂
Huyo atakae mtamani mwanaume mwenzake atakua ame left group 🤣🤣Em sema neno, [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kwa kunirekebisha mkuuSio kweli wapo wakufunzi RTS japo baadhi ndio CDO's na wengne wanapohitajika ndio wanaenda ongeza nguvu
Shukrani sana mkuu na kuhusu kamandi unapangiwa au unapanga mwenyewe kwenye hiyo level 3Ukishatoka RTS kwenye zile uniform utakazo pewa hutokuta zile suti Wala ballet kwahyo nnachojua mim level3 ndo koz ya kuitafta ballet. Yani ili uwe classified kwamba we ni wa kamandi au kikos gani. Mfano kikos Cha mizinga wao yao nyeusi , anga wao yao blue bahar , navy yao nyeupe , CDO ngerengere yao damu ya mzee , kamandi ya nchi kavu yao ya kijani, jkt ndo ile sjui rangi ya ugoro.
Nadhani hyo ndo maana ya level 3 kama ntakua nmekosea wakuu mtanirekebisha
Baada ya hapo inabidi tena ukasomee u-officer? Au mpaka upangiwe tenaInakua na six weeks pia lkn mnapiga na Kombat za bakabaka pia ina u RTS ndani yake. Ndo maana kombati ilopigiwa level3 unakuta imepauka kinoma. Lkn piah naskia wapo wanaopigia darasani baadhi ya vikosi ingawa sina uhakika labda tusubir wakuu wanirekebishe nlipokosea🥴🥴
Bless sana kamanda mungu awe nasi🙏🏽Asante kwa kunirekebisha mkuu
Una elimu gan tuanzie hapo mkuu??Baada ya hapo inabidi tena ukasomee u-officer? Au mpaka upangiwe tena
unapangiwaShukrani sana mkuu na kuhusu kamandi unapangiwa au unapanga mwenyewe kwenye hiyo level 3
Bachelor japo nitatumia cheti cha kidato cha sitaUna elimu gan tuanzie hapo mkuu??
Ni kweli kabisasema basi tu ni umasikini na ukosefu wa ajira , tunakimbilia huko jw
kwa nchi zilizoendelea DF, ni service tu.
Uhakika mzazi acha tupiganie kombesema basi tu ni umasikini na ukosefu wa ajira , tunakimbilia huko jw
kwa nchi zilizoendelea DF, ni service tu.
Degree kwa mfanoUna elimu gan tuanzie hapo mkuu??
Baada ya hapo inabidi tena ukasomee u-officer? Au mpaka upangiwe tena
Ni sawa ila mpaka ubahatike kwenye sahili zao watazofany kama n huko rts au vikosn japo kuna umri ukiwa umefika ni ngum kwenda mfn nina mshkaj wang n degree holder ila mpk sasa n Pte wenzake wameula mwaka jana Tma so bahati pia ikiwa upande wako...Bachelor japo nitatumia cheti cha kidato cha sita
Science or??Degree kwa mfano
Huko mambo sio kama tuzaniavyo mzee Rts yaan Recruit Training school unatoka Kama TS,...alaf Level 3 ndio ukimaliza unakua Pte yaan Private huko TMA ndio Kama una elimu ukibahatika kwenye sahili bas utakua umeula ikishindikana bas utabak kuwa Pte japo utakua unakula dow ya hicho chet chako cha taalumaKwahio kuna RTS,level 3 na u-officer..
Hii ni kwa wote hata maEngineer,madokta nk